Ndo maana Wahaya wanafanikiwa kielimu. Wazazi wanawapa motisha sana watoto wao. Hii ni sherehe ya kumaliza Kidato cha 4 huko Bukoba

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,379
14,183
Wengi hujiuliza Kwa nini Wahaya wanajazana vyuoni na wamekuwa wakiongoza kwa kuwa na wasomi wengi kwa zaidi ya miaka na miaka?

Kwa nini huu Mkoa hukosi ten best kwenye matokeo yoyote Yale. Hii ni sherehe ya form four katika shule za Josia girls na kajumulo girls bukoba.

Najua wengi mtakomenti ukabila Ila huo ndo ukweli

FB_IMG_15700333731302132.jpeg

Mkuu hyo picha ni ya wanafunzi au wazazi wa wanafunzi?
 
Wengi hujiuliza Kwa nini Wahaya wanajazana vyuoni na wamekuwa wakiongoza kwa kuwa na wasomi wengi kwa zaidi ya miaka na miaka?

Kwa nini huu Mkoa hukosi ten best kwenye matokeo yoyote Yale. Hii ni sherehe ya form four katika shule za Josia girls na kajumulo girls bukoba.

Najua wengi mtakomenti ukabila Ila huo ndo ukweli

katika hao kumi 6 wamejichubua..... ELIMU HII INAWASAIDIA SANA. huyo graduateor yupo njiani kujichubua.`
 
Wengi hujiuliza Kwa nini Wahaya wanajazana vyuoni na wamekuwa wakiongoza kwa kuwa na wasomi wengi kwa zaidi ya miaka na miaka?

Kwa nini huu Mkoa hukosi ten best kwenye matokeo yoyote Yale. Hii ni sherehe ya form four katika shule za Josia girls na kajumulo girls bukoba.

Najua wengi mtakomenti ukabila Ila huo ndo ukweli

Labda na pesa ipo kwa hiyo familia,sidhani kama zile shule za elimu bure huko bukoba wanafanyiwa sherehe kama hiyo au mnapitisha fomu ya mchango? :Nimewahi letewa fomu ya mchango wa grad huko mbeya enzi hizo.
 
Wengi hujiuliza Kwa nini Wahaya wanajazana vyuoni na wamekuwa wakiongoza kwa kuwa na wasomi wengi kwa zaidi ya miaka na miaka?

Kwa nini huu Mkoa hukosi ten best kwenye matokeo yoyote Yale. Hii ni sherehe ya form four katika shule za Josia girls na kajumulo girls bukoba.

Najua wengi mtakomenti ukabila Ila huo ndo ukweli

Wahaya majisifu mengi sana ila hawana potential yoyote katika nchi hii kulinganisha na elimu zao,Kabila la Igbo Nigeria ndio kabila kubwa na lenye wasomi wengi Nigeria na Afrika lakini wanapotential kubwa sana wakiwa na world class scientist in USA and Europe. na wapo katika top ten of richest people in Nigeria,sidhani kama kuna muhaya yupo top ten richest people in Tanzani labda top ten ya mafisadi ya Tanzania wakiongozwa na Ruga..Usomi unatakiwa uakisi.Tunaambiwa Islaeli people are most educated people in USA na ndio matajiri wengi kule .Sasa nyie nikujitamba kwa mambo ya kijinga ionesheni dunia kuwa nyie ni kabila la wasomi Tanzania sio kuleta maneneo tu
 
Ukiwa unaongea vitu ongea Kwa facts.wahaya matajiri wap shida ya hawataki kuwekeza kwenye mkoa wao hasa mji wao wa bukoba ( sio mbaya sana maana inapunguza ubinafsi na ukabila).

Muhaya anayejulikana na ni mweusi pekee aliyebaki top ten baada mengi kufariki ni huyu.

Pia usije ukasema wahaya hawana potential yoyote katika nchi hii bila ya kuwa na utafiti.

Nakuletea list
Screenshot_20191006-215235.jpeg
 
Wahaya majisifu mengi sana ila hawana potential yoyote katika nchi hii kulinganisha na elimu zao,Kabila la Igbo Nigeria ndio kabila kubwa na lenye wasomi wengi Nigeria na Afrika lakini wanapotential kubwa sana wakiwa na world class scientist in USA and Europe. na wapo katika top ten of richest people in Nigeria,sidhani kama kuna muhaya yupo top ten richest people in Tanzani labda top ten ya mafisadi ya Tanzania wakiongozwa na Ruga..Usomi unatakiwa uakisi.Tunaambiwa Islaeli people are most educated people in USA na ndio matajiri wengi kule .Sasa nyie nikujitamba kwa mambo ya kijinga ionesheni dunia kuwa nyie ni kabila la wasomi Tanzania sio kuleta maneneo tu
The only sir in tz ni muhaya.

Alishiri hata kukuletea Uhuru wako wew .

Sir George kahama mzaliwa wa kagera
Screenshot_20191006-220006.jpeg
Screenshot_20191006-220015.jpeg
Screenshot_20191006-220026.jpeg
 
Back
Top Bottom