Ndo lukuvi kajivua gamba la ufisadi wa elimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndo lukuvi kajivua gamba la ufisadi wa elimu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by steering, Dec 1, 2011.

 1. s

  steering Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Willium lukuvi alikuwa ni miongoni mwa vigogo ambao inasemekana ni mafisadi wa elimu. Kwamba elimu zilizopo kwenye maelezo yao binafsi, cv, si ya kweli na kwamba kupitia hayo maelezo, baadhi yao sasa ni madokta.

  Pamoja na kutishia kumshtaki msemakweli, mwandishi wa kitabu cha 'mafisadi wa elimu' hakuna hatua ambayo tuliona ikichukuliwa dhidi ya mwandishi.

  Kilinifanya kukumbuka haya ni juzi kwenye gazeti la daily news la jumatatu ambapo moja ya kurasa zake zinaonesha picha ya lukuvi akiwa na mudhihiri mudhihiri ambao kwa pamoja walikuwa wamevaa mavazi ya wahitimu wa elimu ya juu katika chuo kikuu huria.

  Udhaifu wa caption haukuonesha iwapo lukuvi ni mhitimu wa shahada gani hali inayonifanya nihoji: Huyu jamaa ndo keshajivua ufisadi wa elimu?
   
 2. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Labda kajivua,nilisikia anakamata MA
   
Loading...