- Thread starter
- #61
Usijali,karibu sana
No zikiwiva sana mara ukipika zawa uji lol yaani zinavurugika ziwive kuasi tu sio kama zile za kula bila ya kupikwa
Usijali,karibu sana
Eee malaika wa kijani wee,,, hebu nawe tumwagie vitu hapa !! Tupate kumezea mate!! usimwache Shem mdomo mkavu!!!
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhh hadharatak !! hilwa hilwa... Sawa acha shem arambe vidole!!Hapo vipi?
Zamiluni
Kama sufuria zinashika chini kata kuti la mnazi bichi osha vizuri na kata weka chini kabla ya ndizi
Hahahaha njoo tu shost
Zipo madukani tayar zimeshatengenezwa ulizia unga wa custard tu utapatiwa wengine pia huwapikia uji wa custard watoto
Mkweo umemkumbuka kumuekea japo kwenye fridge. ...lol
We mdada hivi upogo jamani?Kesho nitazipika aiseee
We mdada hivi upogo jamani?Kesho nitazipika aiseee
We mwanadada wewe... Huyo aliekuteka huyoHalafu, unaweza ongeza kitunguu cha kawaida na cinnamon?!