Ndiyo tuseme kwamba mapenzi yana wenyewe ama?

But wataalamu wa mambo huwa wanasema kuwa mapenzi ya kweli yapo kipindi cha adolescence, hapo ukikuta boy/girl anaweza akamtukana mzazi kisa kidemu/kiboy chake,anaweza hata toroka kwao kisa mahusiano!!!

N maoni yangu
 
Always kile unachokitaka hukipati kwa wakati na mda ambao huna shida nacho ndiyo kinakuja, relax endelea kutembeza kipande mkuu
 
But wataalamu wa mambo huwa wanasema kuwa mapenzi ya kweli yapo kipindi cha adolescence, hapo ukikuta boy/girl anaweza akamtukana mzazi kisa kidemu/kiboy chake,anaweza hata toroka kwao kisa mahusiano!!!

N maoni yangu
Hivi ile n mapenz ya dhati au hulka ya mwili kupevuka? Sijawahi kuelewa kabisaaaah.
 
N mapenz tena pale ukikuta waliopendana kwel halafu ije itokee mmoja kazingua kuna maumivu makali mno,wewe angalia au jaribu kufanya kuachunguzi kadogo je mpenz wako wa kwanza unae?na kam hayupo mliachana vipi???

Kama ilitokea mliachana basi huenda mliachana kwa bifu zito mno,Mara nyingi Yale mapenzi ya kipindi kile huwa ni real true love,ndo mana watu huachana/kutengana kwa uhasama mkubwa sana.
 
Inaweza kuwa kweli, maana kuna rafiki angu (ke) alikua na boy wake mmmmmh, alikua anapigwa wee na mzaz ake hakomi anaendelea tyuih mahusiano na boy ake. Ila now tyme kila mtu yupo na mahusiano mengine.
 
Ndo hivyo mkuu

Back
Top Bottom