Ndiyo Hosea ulisema ziko kesi 5 kubwa so far tumeona 3 Ulimaanisha hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndiyo Hosea ulisema ziko kesi 5 kubwa so far tumeona 3 Ulimaanisha hizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Dec 19, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Leo nimeona nirudi hapa mkekani kuuliza hili swali kama kawaida yetu tukiwa tunataka kujifunza .

  Majigambo , majivuno , matambo na vijembe vilimwagwa kwa nyakati mbali mbali .Baadaye tumeona matukio ambayo wengi wanayaita kiini macho nami naitikia kwamba huenda yakawa maigizo kweli .

  Sasa tumesha ona kesi za EPA , Mramba na madaraka mabaya na sasa Mgonja.Je tuamini kwamba ulikuwa una maanisha kesi hizi na bado 2 au ulikuwa humainishi hili bado kesi hizo zinakuja ?

  Waziri mkuu fate ya Hosea na Mwanyika namna gani ama wewe uko likizo kama majaji hadi urudi ndipo useme kinacho endelea ?
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wajuvi hakuna aliyeko karibu na Hosea na Pinda atupe yanayo jiri huko ndani ?
   
 3. A

  Alpha JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I thought Mramba, Yona and Mgonja was one case?
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi nimezitenganisha ili nione kama hizi ndiyo hesabu za Hosea ama ni mie nakosea ?Ndiyo maana nauliza kama kuna mjuaji atupe ajualo .
   
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kiongozi Lunyungu

  Source yangu moja ilijulisha hata kabla sekeseke halijaanza kuwa, watakaofikishwa Mahakamani ni pamoja na:

  Mramba
  Yona
  Mgonja
  Vicent Mrisho
  Karamagi
  Chenge
  Lowassa na
  Mwandosya
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2008
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Mdau Lunyungu! Kwa mahesabu ya Hosea nadhani hapo hujakosea kitu, suala la Karamagi nadhani DPP amerudisha jalada kwa kuwa cha kumshitaki jamaa 'hakionekani'. Kwa sasa waliobaki nadhani ndo wale Pinda anaosema nchi itatikisika na nadhani ni zamu ya Lowasa (kumbuka huyu anaheshima ya uwaziri mkuu).

  Kwangu mimi nchi isitikisike kwa kumpeleka mahakamani huyu jamaa na hapo ndo tutaweza kuona mapungufu makubwa yaliyokatika katiba yetu  KATIBA BORA NI ILE INAYOTENGENEZWA KWA MANUFAA YA UMMA
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wadau nina washukuru kwa kunifungua masikio nisikie na macho nione .Mie sasa nangoja ila kama Karamagi hana la kujibu basi Lowasa atakuwa hana pia maana skandali lao si moja ama ilikuwaje siku zile ?
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu Lunyungu, si akina Lowassa na akina Karamagi pekee wasio na la kujibu, kwani hata hao akina Mramba, ukichunguza kwa undani, wana lolote la maana linaloweza kuwaletea matatizo (basing on kind of mashitaka yaliyofunguliwa dhidi yao?
   
Loading...