Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,214
- 1,697
Viongozi wetu wananipa raha sana kwenye mambo ya namna hii haa haoo! kama wametiwa umeme haikosi kusikia kila wakati kashfa zao na warembo hawa.
Wasomi kibao wanakwenda mikoani kwa reseach au mambo mengine ya kitaaluma hawapati warm welcome like this.......
Picha Michuziblog
Wasomi kibao wanakwenda mikoani kwa reseach au mambo mengine ya kitaaluma hawapati warm welcome like this.......
Picha Michuziblog