Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10.

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
291
199
Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, mpare na mwanafunzi wa chekechea.

Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa Akachukua parachute akaruka.

Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo Akachukua parachute akaruka.

Mpare akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.

Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea.

Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema; Mimi ninajitolea kufa kwa ajili yako, wewe chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe kisha mimi nitakufa na hii ndege.

Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti miwili".

Yule mjeshi akashangaa!! akauliza mawili kivipi!?

Mwanafunzi akasema; YULE MPARE KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
 
Yaaani hapo kwa mpare lingekuwa jiwe
 
Mpare kafa kifo cha kikuda sana, Angeonekana shujaa kama maneno ya huyo mwanajeshi angeyatumia yeye ila kajifanya mjanja
 
Hahahaha haha wewe jamaa unautani na wapare tu sio bure,
 
Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu. Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, mpare na mwanafunzi wa chekechea.

Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa Akachukua parachute akaruka.

Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo Akachukua parachute akaruka.

Mpare akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.

Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea.

Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema; Mimi ninajitolea kufa kwa ajili yako, wewe chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe kisha mimi nitakufa na hii ndege.

Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti miwili".

Yule mjeshi akashangaa!! akauliza mawili kivipi!?

Mwanafunzi akasema; YULE MPARE KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
hahahahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom