Ndio wale wale waliombeza hata Tundu Lissu?

Aug 29, 2017
90
154
Leo The Economist limeandika makala ndefu kumhusu mwenendo wa utawala wa rais Magufuli kwa takribani miaka mitatu toka ainuse Magogoni.

Mengi wa waliyoandika siyo mageni, ni yale yale, yaliyoungumzwa na Tundu Lissu mapema mwaka 2016, siku chache tu toka ukandamizaji wa utawala wa sheria, usiginaji wa demokrasia na uvunjifu wa haki za binadamu uanze nchini.

Tundu Lissu alitumia neno "dikteta uchwara" watu wengi wasioelewa wakambeza.

Miaka miwili baadae hata The Economist wataendelea kulibeza???
 
Wapuuzi hao hata anayewaamini ni mpuuzi
 
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika
Tanzania ya pili katika nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi Afrika – Millardayo.com
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom