Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
naona wanaanza kijitaja wenyewe na maovu yaoHakuna haki nchi hii!
dhambi haijawai kumwacha mtu salamaVipi, kumbe walisalitiana? Mie nikajuaga labda source iko nje, now I know.... !
ndio Tanzania tulipofikiaMwenye kuwaelewa tafadhali
hapo wanaoleta vurugu Tanzania niwapinzani au ni ccm?Pombe za offer za Christmass hizo...
siyo kidogo sijui ccm watabishia wapi tena hiihatari sana hii
jana Lissu meonekana kwenye pic akiwa mzima wa afya sasa wameanza tenaSijaelewa kitu hapo, hiyo chat ni ya kabla Mh.Lissu shambulizi!?
Hata ishu kubwa zinaanzaga kama zakijingaInshu za Kijinga zinajadiliwa na wajinga pia.
nikweli maana hata ilani yao kuropoka pia ilikuwepoSasa hatua gani watachukua?! Serikali inatekeleza ILANI mgejiridhisha kwanza kama hilo halipo kwenye ILANI. Mnaweza mkadhani kakosea kumbe anatekeleza.
Mzee meko ashindwiUsije kushangaa huyu mtu kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya badala ya sheria kufuata mkondo wake