Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,364
jana napiga mdogo mdogo joint ya karibu na home sasa akatokea shory mmoja nikamnunulia kilaji nikamwomba contacts si akang'aka ohhh wee umevaa ring umeoa...nikamwambia kweli nimeoa na nampenda sana mke wangu ila tamaa na matamanio yangu ya mwili ndio yananifanya ni-test utamu wa penzi lako yani ile kitu ya fastafasta..alikuwa kidoogo mgumu kunielewa ..ila hapa wadau hoja ya msingi ni kuwa "kwanini mabinti wanajibaraguzaaa ile kukubali kuwa mwanaume akioa sio mwisho wa matamanio kwa wanawake wengine??"..ndio nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu