ndio..nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,509
3,353
jana napiga mdogo mdogo joint ya karibu na home sasa akatokea shory mmoja nikamnunulia kilaji nikamwomba contacts si akang'aka ohhh wee umevaa ring umeoa...nikamwambia kweli nimeoa na nampenda sana mke wangu ila tamaa na matamanio yangu ya mwili ndio yananifanya ni-test utamu wa penzi lako yani ile kitu ya fastafasta..alikuwa kidoogo mgumu kunielewa ..ila hapa wadau hoja ya msingi ni kuwa "kwanini mabinti wanajibaraguzaaa ile kukubali kuwa mwanaume akioa sio mwisho wa matamanio kwa wanawake wengine??"..ndio nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu
 
Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
61,364
76,150
Kama unajua una matamanio bado kwa nini umeoa? Kuoa ni kuacha wengine wote na kubaki na mkeo, sasa mbona wewe macho juu juu?
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,509
3,353
kaka naona watu wanashindwa kuwa wakweli...hakuna aliyeoa na hisia zake za mapenzi au hata matamanio kwa watu wengine zaidi ya mme/mkewe zikafilia mbali.....inakuwa tu kwamba uanajidahidi kuzi-controll ukijua kuwa unaye mwenzako...ila inapokuwa unashindwa then una-admit failure za kibin-adamu na unaipa nafsi kitu roho imetamani...THATS A FACT
 
kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
674
73
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Haya si maneno yangu bali ni kwa mujibu wa Neno la Mungu, Biblia.
 
Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
61,364
76,150
kaka naona watu wanashindwa kuwa wakweli...hakuna aliyeoa na hisia zake za mapenzi au hata matamanio kwa watu wengine zaidi ya mme/mkewe zikafilia mbali.....inakuwa tu kwamba uanajidahidi kuzi-controll ukijua kuwa unaye mwenzako...ila inapokuwa unashindwa then una-admit failure za kibin-adamu na unaipa nafsi kitu roho imetamani...THATS A FACT

Mimi sijakuuliza kuhusu wengine, na kwa kweli huwezi kutuambia kwa uhakika kuhusu maisha ya wengine - utakuwa unajidanganya na kutudanganya sisi- .Kwa kujua hili ndiyo maana nikakuuliza wewe mwenyewe, bila kujali nani mwingine anafanya nini, kwa nini umeoa wakati bado una tamaa ya kukamata kila apitaye?

Tunataka kujenga utamaduni wa "personal responsibility" hapa. Sio unafanya ovyo kwa kisingizio kwamba wote wanafanya ovyo, moja huwezi kutuhakikishia kwamba wote wanafanya ovyo, pili, hata kama wote wanafanya ovyo kweli huu si utetezi, huku ni kukubali makosa tu.

Two wrongs do not make a right, just because everybody is doing it does not make it right.

Kuoa kuna wenyewe, kama wewe sio the marriage type acha kuwahadaa watu na kipete hicho.
 
Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
735
ukisoma tu post zake zote uyu jamaa ndo utagundua ana akili ya namna gani...kwa wale waislam wanaoamini mwanamme mzinzi atatandikwa viboko na mwenyezi, huyu jamaa sijui angestahili fimbo ngapi....kuna watu duniani muda wote wanawaza ngono tu, ndomaana hata Yesu alikiita kizazi cha NYOKA! shame on them!
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,232
wanaume wengine hasa mnashangaza ...........

hivi uliolea nini wakati kumbe huko tayari? na ulioa kwa misingi ya dini ipi?

manake kama umeoa kwa mujibu wa dini lkn unasema lazima uzini nje ina maanisha dini yako ilikuonea ilipokuambia usizini nje...

tanzania bila ukimwi haiwezikani kwa kweli! aggr
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,650
11,897
wanaume wengine hasa mnashangaza ...........

hivi uliolea nini wakati kumbe huko tayari? na ulioa kwa misingi ya dini ipi?

manake kama umeoa kwa mujibu wa dini lkn unasema lazima uzini nje ina maanisha dini yako ilikuonea ilipokuambia usizini nje...

tanzania bila ukimwi haiwezikani kwa kweli! aggr

Ivi we gaijin hujawai kuchit ww kweli?
 
FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,340
Sikutegemea swali kama hili kutoka kwa Who Cares kweli umdhania ndie kumbe sie
haya bwana endelea na matamanio yako:doh:
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
66,712
91,257
Laiti mngekuwa mnaifahamu hii kanuni kuwa "mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi" Wala msinge mshangaa mtoa mada!

Go WC? Go!!!! Go and do it maaaaan!!
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,366
92
mie naona kama wanaume wanavyosemaga...fulani hafai kuolewa sio 'wife material'...na wanaume pia kuna wengine sio marriage type,wameoa ilmradi tu...sasa upate mume mwenye mtazamo wa hivi :tape::tape:duh mbona imekula kwako!!!...afu mie posti zake huyu kaka,ukimchunguza ni kweli..he doesnt give a damn about ANYTHING....no feelings,no morals whatsoever!!! yupo kama robot duh!:tape:
 
FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,340
Laiti mngekuwa mnaifahamu hii kanuni kuwa "mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi" Wala msinge mshangaa mtoa mada!

Go WC? Go!!!! Go and do it maaaaan!!

Sio bure mmerogwa
 
FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,340
mie naona kama wanaume wanavyosemaga...fulani hafai kuolewa sio 'wife material'...na wanaume pia kuna wengine sio marriage type,wameoa ilmradi tu...sasa upate mume mwenye mtazamo wa hivi :tape::tape:duh mbona imekula kwako!!!...afu mie posti zake huyu kaka,ukimchunguza ni kweli..he doesnt give a damn about ANYTHING....no feelings,no morals whatsoever!!! yupo kama robot duh!:tape:

haha hahahaha Who Cares umeona hapo ..inawezekana eeeh??tetetetetetet Roselyne1 umenifurahisha naona weekend inaanza
 
Da Womanizer

JF-Expert Member
May 24, 2010
1,577
146
mie naona kama wanaume wanavyosemaga...fulani hafai kuolewa sio 'wife material'...na wanaume pia kuna wengine sio marriage type,wameoa ilmradi tu...sasa upate mume mwenye mtazamo wa hivi :tape::tape:duh mbona imekula kwako!!!...afu mie posti zake huyu kaka,ukimchunguza ni kweli..he doesnt give a damn about ANYTHING....no feelings,no morals whatsoever!!! yupo kama robot duh!:tape:
We una morals?:doh:
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,232
Roselyne ...............weekend njema mwaya......

(nasindikiza salam kwa wimbo ' waja na mnikome' ) :D
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom