Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,225
17,804
15400457_1132513730199204_8561043262979859753_n.jpg

15380856_1132513773532533_4525198476698567827_n.jpg
15439728_1132513853532525_1013897768905625023_n.jpg
15492237_1132513886865855_4696134215520637669_n.jpg
15380280_1132513973532513_5180938745417114200_n.jpg
15390670_1132514056865838_8982917709264799026_n.jpg
15420763_1132514130199164_6204411158225892055_n.jpg
15401170_1132514166865827_2068110713715241313_n.jpg
15380410_1132514206865823_3985304114971083962_n.jpg
15442199_1132514266865817_3301380800470577308_n.jpg
15390644_1132514326865811_8411103434974788668_n.jpg
15439841_1132514380199139_6197349420133622514_n.jpg
15542094_1132514443532466_868301016559164880_n.jpg
15492293_1132514493532461_7817076796544685812_n.jpg
15542402_1132514553532455_3407873844185962188_n.jpg
 
Lakini sishangai sana sababu ni makaburu wa sauzi hao...
Ile roho yao ya baguzi bado ipo sana tu...
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
 
Ha ha nadhani ni muda wa south africa kudai uhuru wao. Kama huyu jamaa ni kaburu lazima wamfukuze. I wish mugabe angepewa nchi kama south angalau kwa miezi mitatu. Ufala anao andika hapo usingekuwepo
 
Ha ha nadhani ni muda wa south africa kudai uhuru wao. Kama huyu jamaa ni kaburu lazima wamfukuze. I wish mugabe angepewa nchi kama south angalau kwa miezi mitatu. Ufala anao andika hapo usingekuwepo
mugabe apewe south aifilisi wananchi waanze kulala njaa!!
 
Sasa ukawaache kina kaundime huku unaenda kukurupukia ngozi nyeupe!!!!! Unawashwa nini???

Kuna limoja limeandika ukweli tupu hapo, kwamba ndoa za hivi mara nyingi zinaishia kwa kesi na kuachana.
 
Kabla ya kujadili haya ya Wazungu, mmeshamaliza yale yetu ya kupigania haki ya kutoa maoni ili tusiendelee kunyanyaswa na watu tuliowaweka madarakani then wanatugeuka? Waacheni hao ngozi nyeupe na mambo yao, wako mbali sana nasi hivyo they have the mandate to say anything they want against us! Nimeona michango yetu kule kwenye kutetea haki ya wananchi ya kikatiba ktk kutoa maoni hasa wakati huu ambao walio madarakani hawataki kukosolewa, mmeshamfikiria Melo na hatima ya JF? kabla ya kuanza kuwakosoa Wazungu juu ya ubaguzi wao kwetu? They are damn right, shame on us!
 
Tusipende ku generalize mambo! Sema kuna baadhi wa wazungu wabanguzi ila usisema wazungu wabaguzi as if ni wote! Je vipi kuhusu huyu dada anayeolewa? Na yeye ni mbaguzi?
 
Wadhungu wao wamekanyaga sana shangazi zetu wakati wa utumwa. Kwa nini leo sisi tuwaache? Yaani Unyamwezini natoa ng'ombe kibao kupata ngozi nyeupe na Mzungu hata senti tano silipi na ngozi nyeupe haswaaa.

Ukitaka kula Nguruwe.... Wanyamwezi changamkieni Vingozi vyeupe na sisi tuwe na akina Obama wetu.

Kwani Prof. Sarungi Mke wake kashamzika? Au yule M-Magyar ni Single mother? Hao Looser wanaogopa dada zao watapata Mipingo ya nguvu na wawakatae wao na vibamia vyao.

Remy Ongala kazikwa na mkewe.

They Love Black coffee Baby. No sugar no cream.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom