ndio mara ya kwanza kuenda polisi

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,045
359
juzi nilienda polisi kutaka kufungua kesi ya kumdai mtu ambaye ananizungusha kunilpa bt cha kushangaza askari niliyemkuta counter akanijibu kuwa polisi hawaucki n kesi za madai wao wannahucka n kesi za jinai tu bt akaniomba 5000tsh ili amtishe huyo tapeli
 
Makosa ya madai hupelekwa CMA au mahakamani moja kwa moja, hapo alikuomba ili kutaka kukusaidia, coz anajua watanzania wengi hawaju sheria na wanaogopa polisiSiyo mbaya kwani hata wewe mwenyewe imeonesha haukuwa unafahamu sheria na huna uzoefu na polisi pia
 
juzi nilienda polisi
kutaka kufungua kesi ya kumdai mtu ambaye ananizungusha kunilpa bt cha
kushangaza askari niliyemkuta counter akanijibu kuwa polisi hawaucki n
kesi za madai wao wannahucka n kesi za jinai tu bt akaniomba 5000tsh ili
amtishe huyo tapeli

ukikosa pesa mpe 0713....ili akusaidie kirahis make hawa jamaa bhana!!
 
Hiyo mbinu aliyokwambia ni nzuri vinginevyo nenda mahakamani ili kesi iishe mwaka 2020 na ushinde kesi.
 
Usitoe pesa yoyote sheria zipo kusaidia jamii we andika notice of itention to sue hilo ni tishio tosha, akikataa mahakamani tunaenda na huko akishondwa lazima km umeomba alipe gharama zote za uendeshaji wa mahakama na shauri lote sasa hapo km anaakili atajiongeza. Polisi wa nn bwana!!? Mamburura mtagawa 0713 au pesa hizo..
 
Ni kweli kesi za madai hazipelekwi polisi ila polisi kwa dhiki ya maisha wanakubali kitu kidogo akamtishie mdeni ndo alipe.
Zuia rushwa fuata sheria stahiki.
 
Umefika polisi, unataka kufungua kesi ya madai, akakuomba rushwa..... SIPATI PICHA! Kama vile kuna mengine umeyaficha vile au na wewe uliomba.........!
 
wahi mahakamni ukatafute haki yako jombaaaaaa.....achana na njaa ndogondgo za mapolisi...kosa la jinai nenda polisi,madai mahakamni....
 
Back
Top Bottom