Ndio maana watu wenye akili huwa atufikirii kuoa

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Je wajua kuwa wanawake tajiri zaidi duniani watano (5) ni wale waliotarakiwa?

Hebu fikiria wewe ndio mmoja wapo wa hao wana hapa chini, alafu ndio umeoa na kutarakiana zaidi ya mara 3. Utabakiwa na Sh ngapi ikiwa kila taraka mnagawana mpunga pasu kwa pasu?

Kati ya wote hawa, mjanja ni Warren peke yake.. Kavuta kabinti alafu kakasaini mkataba wa mahusiano ya wazi yaani "Open Relationship".
20210506_092934.jpg
 
Akiwa divorced anakuwa huru zaidi , mahali popote anabisha hodi ili mradi apige pesa .
 
Afu sometimes divorce inatokea kwasababu yake yey,na anachukua pasu kwa pasu,aiseee
 
Tunaishi kwenye nyakati za hatari sana......

Hizi ni nyakati ambazo watu wengi wana mitazamo ya vitu juu ya watu na sio utu.....

Hizi ni nyakati ambazo tamaa za mali na fedha vimezidi utendaji kazi wa akili za wanadamu.......

Katika nyakati hizi ili ubaki salama unatakiwa matumizi yako ya fahamu yawe juu sana kuliko emotions......

Mungu atutangulie............
 
Huko majuu wamemtetea mwanamke mpaka wamevuka mipaka.

Sasa hivi kinachoendelea ni unyanyasaji dhidi ya mwanaume.

Siku hizi wengine huko hawafungi ndoa, wanaishi tu kama boyfriend na Girlfriend.
Na kwasababu hiyo waschana wengi wanaona ni mahusiano ya hasara.
Hawataki tena mahusiano na wanaume, wanafanya wao kwa wao au na mbwa.
Wanaume wanapata mfadhaiko wanajikuta wanabadiri jinsia ili labda kumudu mahitajio ya ngono.

Upweke unakua kwa kasi, mbwa wanachukua nafasi ya mahusiano.
Mbwa + binadamu= uzazi hakuna,, birthrate inapungua,,
Matokeo ya kutetea sana wanawake yana negative impact kubwa.
 
Huko majuu wamemtetea mwanamke mpaka wamevuka mipaka.

Sasa hivi kinachoendelea ni unyanyasaji dhidi ya mwanaume.

Siku hizi wengine huko hawafungi ndoa, wanaishi tu kama boyfriend na Girlfriend.
Suluhisho lake ni lipi?
 
Na kwasababu hiyo waschana wengi wanaona ni mahusiano ya hasara.
Hawataki tena mahusiano na wanaume, wanafanya wao kwa wao au na mbwa.
Wanaume wanapata mfadhaiko wanajikuta wanabadiri jinsia ili labda kumudu mahitajio ya ngono.

Upweke unakua kwa kasi, mbwa wanachukua nafasi ya mahusiano.
Mbwa + binadamu= uzazi hakuna,, birthrate inapungua,,
Matokeo ya kutetea sana wanawake yana negative impact kubwa.
khaaaaah lol
 
Back
Top Bottom