ndio maana wanawake wanaishi miaka mingi,

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
nimeamini zile population pyramid zipo sawa kabisa, jinsi zinavyo onyesha idadi ya wanaume ilivyo kuwa ndogo compared to # of female. Wanaume tumekuwa na mawazo mengi katika maisha kuliko hawa wanawake.. Kuna views zozote tofauti wana jf?
 
Wanawake wanakuwa hawana msongo mkubwa wa mawazo kwa kuwa huwa hatuweki kitu moyoni
tukisikia au tukiambiwa na sisi tunayasema kwa mwingine so moyo unakuwa hauna mzingo mzito,

mwanaume hata ukimwambia huyu mtoto siyo wako atakaa nacho moyoni hawezi kusema hata kwa baba yake mzazi
mwisho moyo unakuwa na mavitu mengi mwisho anaishia kupata magonjwa mazito na kuondoka mapema.
 
Hapana mkuu hii sio sababu! Juu ya swala la kuweka kitu moyoni mimi naona inategemea na aina tu ya mtu.
Wapo wanawake visirani na wapo wale wasio weka kitu moyoni.
 
Back
Top Bottom