Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

silaha kuu ya mwanamke ni nyuchi, hana chengine, hana cha kuoffa zaidi ya lile buyu tamtam la asali
 
Kuna manzi tangu aingie home kwangu basi amegeuka kero, mimi ndo nimekuwa kikwazo kuhakikisha hahamii.
 
Naunga mkono hoja, ila uandishi wa mtoa mada ni wa kiume kabisaaaaaa
 
Kuna mrembo nikua namtaka ila analeta mapozi ya tuoane kwanza ndio tufanye nikasema poa nikajiweka kwake na msubili tukiwa tayari ndio tuoane nikajua ataachia basi ukapita mwaka anakaza tu nikaona isiwe tabu nikatafuta kitoto cha pembeni nikawa napiga ili nisubilie mrembo wangu wa ndoq atakapo kuwa tayari

Siku zinaenda nikaanza kumwelewa demu wa pembeni siku zinaenda nikaita watu nikapiga ndoa baada ya miaka kadhaaa tukaachana nikaona isiwe tabu nikarudi kwa mrembo wa mwanzo mana alikiwa bado single ile nimerudi tu nikapewa kitu moja kwa moja hadi leo napiga nasijaoa maana mipango bado haijakamilika ila ndio namiliki nasubiri akiwa tayari tutaona
 
Njoo tuchakatane tu mambo ya kuoana ni kuuza uhuru na kununua utumwa woooi
 
sikio la kifa tu
Mungu alisema usile tunda la mti wa kati katika bustani hamkusikia sembuse hawa we2 hawa
 
Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu hujui historia yake vizuri, kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika.

Ndio maana wanaume hawaoi siku hizi maana kila kitu ambacho angepata kwenye ndoa anapata kwako, sasa ndoa ya Nini anaona hakuna jipya ndio maana kumekuwa na wimbi kubwa na masingle mother kisa tu kujirahisisha na kupenda mteremko wa maisha. Wanawake tupige kazi tuache kupenda mteremko ili hadhi yetu ipande maana imeshuka sana kwa kujirahisisha.
Kwa upande wangu kama mwanaume naamini wanaume waliokamilika wanaojielewa na wenye nia ya kufanya maisha ya ndoa huwa hatupendi chenga za kitoto na kuwekeana mitego isiyo na maana mwanzoni mwa mahusiano.

Umempenda mtu amekuapproach mpe nafasi muanze mahusiano. Pozi za nini....?!

Kwa upande wangu mwanamke ambaye nimemkubali na nipo tayari kuanza nae maisha hata kama sipo tayari kifedha kitendo cha yeye kuja speed na mimi itaniongezea speed ya kujenga nae maisha haraka zaidi. Sasa mtu unampenda kwann iwe kosa kumkubalia na kuwa nae karibu kwa haraka.

Shida ya watoto wa kike huwa mnatazama mtu ana nini sasa hapo ndipo wengi mnajirahisi na kwenda kwa kujipeleka, ila ambao wanawapenda kwa dhati huwa mnawaletea pozi.

Nadhani tamaa zenu ndio huwa ni chanzo cha matatizo yenu sio wanaume....
 
Siku hizi si nasikia ukiwa single maza na una kazi/biashara yako ya kukuingizia laki 5 hlf ukapata passo yako ya million 6 basi ndo umekuwa strong woman yaani ndo umekuwa super woman kamili.Kama hujaachika vigezo unakosa basi inabidi uanzishe kamgogoro ili uonekane ulikuwa unateswa na mumeo ili mkiachana mtoto umlee mwenyewe ionekane mmetelekezwa wote

Huko istagram ni vurugu tu bio imeandika my maza my everything mara inaandika blessed mom,gifted mom huko whatsup status ni picha ya mtoto,mama ake na bibi mtoto tu katuuu hukuti picha ya baba mtoto wala baba ake mzazi yaani Ni vita tu.Super woman hana hata mapenzi na baba ake mzazi birthday zinapostiwa za mama tu.Kwanza suoer woman gani unampenda baba ako

Kwahiyo siku hizi usingle maza ni wakutafuta kabisa ili vigezo vitimie vya kuwa super woman

Ila wanwake zetu mnakuwaga na vichaa sometimes yaani mtu anaolewa anajiandaa kabisa kuachana akiwa kwenye ndoa ili awe strong woman

Nyie wenzetu si mpo kwenye battle kwamba alifanya mwnaume na nyie mnawaza kwmaba hata nyie umalaya mnauweza km sisi.Sawa haina shida
Siku hizi Kuna masupa women kibao

Ma.strong women
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom