Ndio maana tunakimbilia Loliondo..ona hapa

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kwa hali hii kwanini mtu usimpeleke mgonjwa wako Loliondo

Hospital zetu.jpg
 
Hapa nako ni Tanzania kweli? Miaka 50 ya uhuru kitanda cha kamba hospitali?
 
waziri anabadili VX kila baada ya miaka mitatu. Waliokula hela za EPA hawtafutwi, kwa nini hospitali zisiwe hivi?????
 
ukitazama vitu kama hivi, akina mama na maji vichwani, watoto wakisoma chini ya miti au madarasa ya udongo, gari zinakwama kufika kutakiwapo, miji isiyopangiliwa, watu wanakosa milo ya kutwa unajiuliza kwa nini? jibu linabaki rahisi tu, uongozi mbovu. na hapo unapandwa na hasira zaidi
 
Nafikiri vitanda hivyo vimetengenezwa kwa wagonjwa maalumu-ugonjwa wa kuhara. Mgonjwa anapohara uchafu unaenda kwenye chombo maalumu (dishi) kama kinavyoonekana pichani.
 
<SCRIPT type=text/javascript> var $buoop = {vs:{i:7,f:3.0,o:10.01,s:2,n:9}} $buoop.ol = window.onload; window.onload=function(){ if ($buoop.ol) $buoop.ol(); var e = document.createElement("script"); e.setAttribute("type", "text/javascript"); e.setAttribute("src", "http://browser-update.org/update.js"); document.body.appendChild(e); } </SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript>//<![CDATA[window.orig_onload = window.onload;window.onload = function() {var cpost=document.location.hash.substring(1);var cpost2='';if(cpost){ var ispost=cpost.substring(0,4)=='post';if(ispost)cpost2='post_'+cpost.substring(4);if((cobj = fetch_object(cpost))||(cobj = fetch_object(cpost2))){cobj.scrollIntoView(true);}else if(ispost){cpostno = cpost.substring(4,cpost.length);if(parseInt(cpostno)>0){location.replace('https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p='+cpostno);};} }if(typeof window.orig_onload == "function") window.orig_onload();}//]]></SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript src="http://browser-update.org/update.js"></SCRIPT>


13th May 2011 04:59 PM Hospital zetu.jpg
 
eeh wakuu hii ni ward ya cholera!ukimuwekea mgonjwa godoro waweza kuzua balaa zaid,ndio maana kuna mabeseni kwa chn.
 
mhhh inasikitisha jamani,lini kutatokeamabadiliko ya ukweli Tanzania tunayahitaji sana ila si kwa hawa wauza sura
 
Hii kitu imekaa kiloliondo kwa maprofesa kama maji marefu vile. 'Where we dare to speak openly' weka source please
 
Daaaah!!! nime jaribu vuta picha lakini cjaipata sjui ni nchi gani hii sabab hata kule kijijini kwa bibi dispensary za huko hakuna vitanda kama hivyo
 
eeh wakuu hii ni ward ya cholera!ukimuwekea mgonjwa godoro waweza kuzua balaa zaid,ndio maana kuna mabeseni kwa chn.[/Q



Parachichi
Unaweza kuhararisha hali hiyo kwa hicho unachosema?
Unaweza kuruhusu hata mtu uliyemuokota barabarani akapewe huduma ya hivyo?
 
Back
Top Bottom