Ndio maana tunaibiwa mchanga

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
301
290
*Braza.....*
Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....

"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"

"Ndo mana kila siku tunaibiwa mchanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom