Ndio maana sijawahi kuielewa Demokrasia wala Diplomasia.,

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Rwanda,Burundi na DRC hizo nchi unakuta mtu mmoja tu anasababisha tafrani nchi haikaliki, watu mamilioni wamemkimbia nchi zao, wameenda kuishi uhamishoni, au kwenye makambi ya wakimbizi. Lakini EU na USA kupitia UNHCR wana discuss namna ya kuwasaidia wakimbizi hadi mara zingine wanakosa pesa wanaomba msaada kutoka nchi zenye makambi kusaidia.
Kwanini huwa hawa shughuliki na mtu anaye sababisha kuwepo tafrani au anayezalisha wakimbizi?!

Mtu mmoja ana sababisha shida kwa mamilioni lakini anaachwa tu, sielewi demokrasdia wala diplomasia huwa zinafanyaje kazi ikifika hapo.

Solution ilitakiwa ifikiwe kwa kuondoa chanzo cha tatizo ili wananchi waendelee kufurahia kuishi nchini mwao. Enzi za Yugoslavia mliona Slobonan Milosevic aliondolewa akashitakiwa akafungwa akafariki Maisha safi. Huku kwetu wanasubiri mpaka tuuane, tukimbie nchi sasa ndio waanze kuongea demokrasia na diplomasia. Tatizo ni rangi zetu au matatizo yetu hayawahusu?!
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Hizi akili za Ngosha kabisa.!
Unaonaje wakutuondolea yeye badala ya kuidhibu nchi nzima kwa maamuzi yake binafsi?! Hapangiwi, anataka tukae kimya kama Lowassa eti ndio tupone, otherwise tutaishia jela. Mtu mmoja ana sababisha zahama, why asiondolewe yeye tu, badala yake watu milioni hamsini wanaumia?!
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,090

Kwa ustawi wa na umoja wa kitaifa naunga Mkono Magufuli aondoke kwa hiari yake.

Kwenye kuunganisha Taifa Rais wetu amefeli sana.

Naamini ikitokea leo tukavamiwa itakuwa sawa na wakati ule idi amini anaondolewa Uganda wananchi watawaunga mkono waasi.
 
Hahaha Afrika hii huwa hawaondoki pekeyao. Na hatuvamiwi labda tujivamie wenyewe. Kuna magonjwa yanaitwa AUTOIMMUNE diseases, yani kinga yako inakushambulia mwenyewe.
 
MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,392
2,000
Rwanda,Burundi na DRC hizo nchi unakuta mtu mmoja tu anasababisha tafrani nchi haikaliki, watu mamilioni wamemkimbia nchi zao, wameenda kuishi uhamishoni, au kwenye makambi ya wakimbizi. Lakini EU na USA kupitia UNHCR wana discuss namna ya kuwasaidia wakimbizi hadi mara zingine wanakosa pesa wanaomba msaada kutoka nchi zenye makambi kusaidia.
Kwanini huwa hawa shughuliki na mtu anaye sababisha kuwepo tafrani au anayezalisha wakimbizi?!
Mtu mmoja ana sababisha shida kwa mamilioni lakini anaachwa tu, sielewi demokrasdia wala diplomasia huwa zinafanyaje kazi ikifika hapo.
Solution ilitakiwa ifikiwe kwa kuondoa chanzo cha tatizo ili wananchi waendelee kufurahia kuishi nchini mwao. Enzi za Yugoslavia mliona Slobonan Milosevic aliondolewa akashitakiwa akafungwa akafariki Maisha safi. Huku kwetu wanasubiri mpaka tuuane, tukimbie nchi sasa ndio waanze kuongea demokrasia na diplomasia. Tatizo ni rangi zetu au matatizo yetu hayawahusu?!
Ishu ni kwamba huyo kiongoz anayesababisha hayo wana maslai naye na mda mwingine unakuta wao kupitia huyo kiongoz ndio wasababishi
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Ishu ni kwamba huyo kiongoz anayesababisha hayo wana maslai naye na mda mwingine unakuta wao kupitia huyo kiongoz ndio wasababishi
Maslahi ya kuiba pesa za UNHCR au maslahi yapi wananchi wakiteseka?!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
21,778
2,000
Rwanda,Burundi na DRC hizo nchi unakuta mtu mmoja tu anasababisha tafrani nchi haikaliki, watu mamilioni wamemkimbia nchi zao, wameenda kuishi uhamishoni, au kwenye makambi ya wakimbizi. Lakini EU na USA kupitia UNHCR wana discuss namna ya kuwasaidia wakimbizi hadi mara zingine wanakosa pesa wanaomba msaada kutoka nchi zenye makambi kusaidia.
Kwanini huwa hawa shughuliki na mtu anaye sababisha kuwepo tafrani au anayezalisha wakimbizi?!
Mtu mmoja ana sababisha shida kwa mamilioni lakini anaachwa tu, sielewi demokrasdia wala diplomasia huwa zinafanyaje kazi ikifika hapo.
Solution ilitakiwa ifikiwe kwa kuondoa chanzo cha tatizo ili wananchi waendelee kufurahia kuishi nchini mwao. Enzi za Yugoslavia mliona Slobonan Milosevic aliondolewa akashitakiwa akafungwa akafariki Maisha safi. Huku kwetu wanasubiri mpaka tuuane, tukimbie nchi sasa ndio waanze kuongea demokrasia na diplomasia. Tatizo ni rangi zetu au matatizo yetu hayawahusu?!
wakiondoa CHANZO mtasema wanaingillia mambo ya ndani ya taifa huru, hapa ndipo kwenye kikwazo.
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
wakiondoa CHANZO mtasema wanaingillia mambo ya ndani ya taifa huru, hapa ndipo kwenye kikwazo.
Waondoe tu, ndio wataogopa. Maana wakiachwa viburi vinazidi na ndio wanaua raia na kutengeneza wakimbizi wengi zaidi. Naweza kusema viongozi wetu wajinga sana, na wabinafsi sana.
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Hata Gadaffi walimuondoa na kilichofuata Mungu ndio anajua.
Walibya wako huru saaa hivi, undava undava hakuna kutishiana nyau. Mnapenda wafalme sana nyie. Wakiweza kumuondoa wamuobdoe tu, huwa hawatoki pekeyao hawa, na ukiwaacha ndio wanajiona miungu kama kina Museveni. Yani anajiona peketake ndio anaakili kutawala nchi, raia wengine wote wehu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom