Ndio maana Nampenda José Mourinho

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,000
Jose Mourinho: ′′ Nadhani mwanangu, Heung Min Son anapaswa kumtazama Harry Kane. Amka mwanangu Son na uombe uhamisho haraka ikiwa unataka kitu cha kuonyesha kwa familia yako kule Korea baada ya kazi yako.

Tottenham Hotspur ni timu nzuri ambayo inaweza kuwapa wachezaji jukwaa zuri la kuonekana na vilabu vikubwa, lakini sio klabu ya kushinda Kombe. fikra za mwenyekiti wao zinathibitisha hilo.

Mfano; Niliwafikisha fainali ya kombe la ligi, kwa haraka zikiwa zimebakia siku 14 tucheze fainali wakanifukuza ′′ yan kosa langu kwanini nikaribie kubeba kombe na siyo mpango wao"😂😂.

Hii ilikuwa kabla ya Son kusaini mkataba mpya watz ur take katika hili

José Madharau Mourinho 🙄
 

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
284
500
Nivyema umetoa hisia zako wazizi! Naona umevumilia siku nyingi sana ila leo umeamua kufunguka ukweli kwamba umekufa umeoza kwa mou! Ila bahat mbaya ni mme wa mtu na nibaba wa familia pia!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom