Ndio maana kuna wanaoamua kuwa na mtoto mmoja. Lol

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,309
8,369
"I do not play favourites" says Dad criticised for naming favourite child on his blog

Dad at the centre of favourite child debate defends his words to Yahoo!

buzz26092012-jpg_120213.jpg
Father of two Buzz Bishop said his eldest son was his favourite child © BabbleA father of two who has sparked a major discussion about whether parents should openly name their favourite child has refuted claims he is a bad father.
Buzz Bishop, from Vancouver, Canada, initially wrote a personal blog last week entitled 'Admit It, You have A Favourite Child. I do' which included, amongst others, the controversial statement:
"If I were to be absolutely honest, my older son is my favourite of the two," which sparked an influx of comments slamming him for naming his favourite (and non favourite) son on his blog.
"You are a self-absorbed idiot who let his 'honesty' get in the way of the true responsibility of protecting one's child at all cost," wrote one user on Facebook.
"You have damaged both sons with your stupid comment," the user added.
Buzz then later updated his blog defending his controversial post.
"Yes, I have a favourite son and I'm not ashamed to admit it. I'm guessing you could look deep in the mirror and admit you have a favourite, too," he wrote.
Last year, it was suggested that 95 per cent of parents have a favourite child – and according to the controversial author who made the claim, the other 5 per cent are lying.
Buzz has now spoken exclusively to Yahoo! to explain his choice of words.
"Favorite is a strong word to some, perhaps that's where the outrage comes in," Bishop told Yahoo! in an interview.
"I do not play favourites, or create inequities in my children's lives. My default habit, however, is to reach for my older son's hand first when it comes to our family outings."
And Bishop has since realised that he may not have a favourite child at all, just a favourite phase in his children's lives.
"I don't 'do babies' very well, and so I would take time to get Zacharie [the older child] out of the house when Charlie [the younger child] was napping," he told Yahoo!
"I have just spent so much more time getting to know my older son that I lean his way when it comes to doing things."
"I'm looking forward to Charlie growing up and being able to get out and be active with me the ways Zacharie has."
And it sounds as though Buzz has a special bond with his eldest child as it's his first born.
"Zacharie will always be special. He's my first. I never thought I would have kids until my wife got pregnant very soon after we met," he said.
"He chose us to be his parents, and I am so grateful for the twist my life has taken. I will always hold that special. That said, when he's a petulant teen, and Charlie is a bubbly pre-teen, I'm sure I will ebb and flow with my 'favouritism'."
So has Buzz learnt anything from being thrust so suddenly into the spotlight?
"I have had to talk about myself and my situation so much these past few days that it has made me acutely aware of how I treat my boys. I am now very aware of showing any signs of bias and am working to balance the scales," he told Yahoo!
"Some good has come out of this," he added, "and I'm thankful for it."
 
Tatizo si kidhungu watu wameisoma kimya kimya kwa sababu ni kweli tupu. Ila ni taboo kusema nampenda mtoto fulani...lakini matendo yanatuumbua in most cases.

Mimi nilikuwa najua baba anampenda nani...lakini ilikuwa haitusumbui kwa kuwa sikuwahi feel rejected. Mara nyingi watoto wa kwanza wana bahati ya kupendwa sana na baba zao.

Mama wengi wanajitahidi kutoonyesha upendeleo.

mmmmmmmmmmmmmmmmh!!! kidhungu hiki?
 
Mmmmmmh ngumu kumesa. Mimi sikujua baba yangu anampenda nani mpaka anafariki ila kwa Mama nahisi nilikuwa mimi
 
Unajua unaweza kuwa na upendeleo afu wewe hujuhi. Ila sisi baba yetu alikuwa anasema live...kuwa anatamani dada yetu angekuwa mtoto wa kiume; jinsi anavyompenda. Ila watoto wa hivyo wanaishia kuwa wategemezi...si strong.

Dada yangu wa pili ndo alikuwa ana mind wengine wala tulikuwa hatujali. Sasa huyu first born yani ni anadeka mpaka leo; kuanzia kwa mumewe mpaka kwa baba pia...hata kwetu ndugu zake.
 
Masikini na wewe ukawa unampenda baba...........sipati picha ulivyokuwa unamkera mtoto mpendwa!!
 
Dada yangu yeye hakuwa na tabu na mtu; na mimi baba yangu nilikuwa nampenda sana nikiwa mdogo...lakini nilikuwa najua anayempenda zaidi ni dada yetu...ila mi haikuwa inanisumbua kwa kuwa nilikuwa nampeda sana dada yangu pia.

Issue ilikuwa kwa dada yangu wa pili kwani wao naona kama walikuwa wana beef la kudumu. Mdogo anasema baba ana upendeleo.

Ndio maana nimesema mapenzi hayagawanyiki watu wanaamuaga kuwa na mtoto mmoja.

Masikini na wewe ukawa unampenda baba...........sipati picha ulivyokuwa unamkera mtoto mpendwa!!
 
Mtoto mpendwa alikuwa anapendwa...lakini sina evidence kama nae alikuwa anapenda hadi awe na wivu. Kupendwa na mzazi sijuhi kama ni lazima kuwe na connection ya mtoto anayependwa nae kumpenda mzazi wake sana. Sijuhi...dada yangu hakuwa na tatizo mimi kuwa close na baba...mimi nilikuwa na ji clozisha mwenyewe. Lol.

Mimi pia ni mtoto wa kwanza na kwa kweli napendwa sana na wazazi, hasa baba (RIP), alikuwa ananipenda sana, ilinisababishia kutokuelewana nilipotangaza nia. na pia kudeka ni balaa, mpaka wakati mwingine nadeka hata kwa watoto wangu, lol!
 
Mtoto mpendwa alikuwa anapendwa...lakini sina evidence kama nae alikuwa anapenda hadi awe na wivu. Kupendwa na mzazi sijuhi kama ni lazima kuwe na connection ya mtoto anayependwa nae kumpenda mzazi wake sana. Sijuhi...dada yangu hakuwa na tatizo mimi kuwa close na baba...mimi nilikuwa na ji clozisha mwenyewe. Lol.
mdogo wangu siku moja aliwaambia wazazi "mimi najua hapa FP anapendwa sana na nyie wote, sisi wengine tunajilea wenyewe" lol!
 
Mi nahisi wazazi wananipenda tu hivi nilivyo. Kwani upendo kwa watoto nao ni competition?
 
Yani huyo baba yako ni kama baba yetu. Yeye always uwa analia watoto wakiolewa. Ila ametulilia wote, si dada yetu peke yake. Yani kwenye harusi mpaka inakuwa kero maana anashindwa kujizuia. Hakuwa na imani kuwa kuna mwanaume yeyote anayeweza kumtunzia wanae.

Alikuwa hataki kabisa tuolewe.

Mimi pia ni mtoto wa kwanza na kwa kweli napendwa sana na wazazi, hasa baba (RIP), alikuwa ananipenda sana, ilinisababishia kutokuelewana nilipopeleka taarifa ya kutaka kuolewa. na pia kudeka ni balaa, mpaka wakati mwingine nadeka hata kwa watoto wangu, lol!
 
Si competition kuwa ukijipendekeza ndio utapendwa...ni natural...kuna kuwaga na upendeleo usio na explanations....inatokea tu. Hivyo hakuna cha ku compete wala nini ...kama wewe si chaguo si chaguo.

Mi nahisi wazazi wananipenda tu hivi nilivyo. Kwani upendo kwa watoto nao ni competition?
 
Dada yangu yeye hakuwa na tabu na mtu; na mimi baba yangu nilikuwa nampenda sana nikiwa mdogo...lakini nilikuwa najua anayempenda zaidi ni dada yetu...ila mi haikuwa inanisumbua kwa kuwa nilikuwa nampeda sana dada yangu pia.

Issue ilikuwa kwa dada yangu wa pili kwani wao naona kama walikuwa wana beef la kudumu. Mdogo anasema baba ana upendeleo.

Ndio maana nimesema mapenzi hayagawanyiki watu wanaamuaga kuwa na mtoto mmoja.

Hivi bifu la aina hii huwa mpaka ukubwani .....duh?
 
Yani huyo baba yako ni kama baba yetu. Yeye always uwa analia watoto wakiolewa. Ila ametulilia wote, si dada yetu peke yake. Yani kwenye harusi mpaka inakuwa kero maana anashindwa kujizuia. Hakuwa na imani kuwa kuna mwanaume yeyote anayeweza kumtunzia wanae.

Alikuwa hataki kabisa tuolewe.
mimi babangu hakulia, ila ilibidi awekewe vikao na wazee aniruhusu kuolewa, gia yake ilikuwa nimalize kwanza shule, lakini kila mtu alijua hiyo haikuwa sababu
 
Dada yangu wa pili alikuwa anapigana kama tyson...afu ukimcheki mwili sasa ni kadogo dogo hivi. Haogopi mtu...alikuwa anawabutua hata kaka zangu. Zikianza kupigwa ni vioo kuvunjwa...wakirudi wazazi wote wanakura bakora...mama alikuwa hana muda wa kuuliza mgomvi nani.

Mimi nilikuwa sionewi na kaka zangu sababu yake. Na aliwahi kumbutua mdada mmoja wakiwa UD. Hivi mpaka leo anaogopwa na sisi wote katika familia yetu

Hiyo familia nimeipenda....imebidi nicheke. Wasipokuwapo wazazi panachimbika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom