Ndio maana Kinje anatanua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndio maana Kinje anatanua

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mfianchi, Nov 26, 2009.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Ndio maana Kinje anatanua kwa sana na baba uake mzee Kingunge anakuwa mkali ukiwasema mafisadi kumbe hawa wanafamilia kila siku walikuwa wanaingiza fedha kiulaini kama Million mbili na ushee pale Kituo Kikuu cha Mabasi ubungo kila siku huko jiji likiambulia vijisumuni na hapo baado mradi wa kuegesha magari,kwa nini Kinje and Co asiwe nfanyabiashara mkubwa bana wakati ana mchongo wa bure wa kupata pesa? Hii ndio TZ bana na ndio maana watoto wa wakubwa wanakuwa kibri kwa kutegemea nafasi za wazazi wao ,lakini wakumbuke hakuna marefu yasiyo na mwisho huo ndo ushauri wa buure kabsa!
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi kwa nn wasipelekwe mahakamani waamriwe walipe hii tofauti? Maana milioni 2 na ushee kwa siku na ukipiga mara muda waliokaa pale its lots of money! Ukifanya milioni 2 kwa siku kwa mwaka ni milioni 700!!
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  kama kawaida ndugu si waliingia mikataba ya kifsadi ,kwani si sheria zitawalinda kwani ndio makubaliano ati ,lakini sielewi jinsi walivyoshinda hizo zabuni za kuendesha Ubungo na Maegesho,sintashangaa kuwa hawa jamaa walipewa na mkulu aliyepita kwani hakuna waliposhindanishwa na kukosa Mtoto wa Mkuloma kushtuka mzee wa kilwa angekuwa anazidi kupeta,huyo mzee ndio mjamaa ati,kavaa viatu vya baba wa taifa,ama kweli Banza Stone aliimba Fainali Uzeeni
   
Loading...