Ndio Maana huwa anaenda kubembea JAMAICA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndio Maana huwa anaenda kubembea JAMAICA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 28, 2011.

1. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#1
Jul 28, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 32,251
Likes Received: 15,045
Trophy Points: 280
Jamaica hakuna mgao wa umeme.
Jamaica samaki fresh, hawana mionzi.
Jamaica vibinti bomba ile mbaya.
Jamaica waandishi wamelewa dope, hawana maswali magumu.
Jamaicaaaaah!!!!! Smile Jamaica.
:D

2. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,857
Likes Received: 125
Trophy Points: 160

hahaah Jamaica . . . ! TANZANIA HATUNA MABEMBEA MAREFU , HAHAAH, umesahau alienda na kupimwa akili maana milembe haina maprofesa wazuri

3. Sumbalawinyo

Sumbalawinyo JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Sep 22, 2009
Messages: 1,286
Likes Received: 19
Trophy Points: 0

kumbe mwenzetu ana akili problem

4. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#4
Jul 28, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
hahahaha!
Alijifunza pia kilimo bora cha mihogo. Tanzania hatuna wakulima bora wa mihogo kama Jamaica..lol.. Bora aende tena!

5. Mkuu wa chuo

Mkuu wa chuo JF-Expert Member

#5
Jul 28, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,249
Likes Received: 217
Trophy Points: 160
Jamaica weed inapatikana kwa wingi sana!

6. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#6
Jul 28, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,830
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
feeling right, this feeling will never leave you alone! then i say i want dance...hey dread. in jamaica you gonna smile! in jamaica yeah.....ah wadau i feel so high i even touch the sky upon the falling rain i feel so good in this my neighborhood so till i come again! i 've got to have KAYA now KAYA KAYAAA NI raha mnoooo ila CCM gadem wana spoil maisha yetu. CCM wezi, CCM wanafiki i hste youuuuuuuuuuuuuu CCM!!!

7. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#7
Jul 29, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 32,251
Likes Received: 15,045
Trophy Points: 280

Kile kilimo cha Tarime vp, hakujifunza? Maana kwenye picha za mabango yake ya kampeni niliona baadhi ya vijana aliopiga nao picha wana nguo zenye michoro ya majani ya Tarime

8. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#8
Jul 29, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Alijifunza ila hakuelewa vizuri ndio mana akaenda kuongeza maujuzi huko kwenye mabembea marefuuuu!

9. T

Topetope JF-Expert Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 270
Likes Received: 17
Trophy Points: 35
Hapajamani alienda kumuona live mkimbiaji maarufu ili ampembinu mambo yakimshinda atakimbia kwa mudagani

10. Nazjaz

Nazjaz JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 5,049
Likes Received: 728
Trophy Points: 280
rais wetu Mr. Bean, mtu asibishe

11. m

makuti Member

#11
Aug 2, 2011
Joined: Mar 23, 2011
Messages: 44
Likes Received: 1
Trophy Points: 15
Bora hata Mr. Bean (Rowan Atkinson), Nazjaz umepaisha juu sana .

Loading...