ndio maana akabadilika.

Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
13
wadau,kuna mshikaji mmoja alikuwa na mpenzi wake ambao kwao walikuwa masikini sana...mkaka yule alikuwa anampenda kweli mpenzi wake yule, tena kwa dhati...akachukua jukumu la kumsomesha yule mwanamke anzia form one, kwani kwa yule mshikaji kulikuwa na hela, hivyo kwa utu wema alishirikiana na kaka yake mkubwa na kumsomesha mpenzi wake yule mapaka dada ule akafanikiwa kumaliza advncd dploma, yote kwa gharama za mpenzi wake yule..baada ya kumaliza advanced dploma, msichana ulee alifanikiwa kupata kazi na kulipwa vizuri, akainua na uchumi wa nyumbani kwao..mpenzi wa dada yule ambaye wakati msichana wake anasoma na yeye pia alikuwa akisoma alikuwa na imani kwamba ule ndiye mke aliyeletewa kutoka mbinguni, alimpenda, akamheshimu na kumuamini na kuwa mwaminifu...pindi akiwa chuoni, kaka ule akapata taarifa..taarifa ambayo ilimuhuzunisha na kumfanya aone kama amepungukiwa...alipokea taarifa iliyomchoma moyo,alipata msiba mkubwa alipopata taarifa kwa njia ya kadi ya mualiko wa harusi, kwamba mpenzi wake ule anaolewa mwezi unaofuata......alihudhuria harusi na alikuwa akilia mwanzo mwisho....akabadilisha mwenendo wake wa maisha na kuwa mnywaji na mchezea wanawake....hataki kusikia kabisa neno kuhusu mapenzi....kutokana na mwanamke, ndio maana akabadilika...msaidieni ndugu huyu...walau kurudisha imani na mwenendo wake uwe kama awali....
 
Hebu weka paragraph basi ili tupunguze nguvu nyingi kusoma.

Halafu, mwambie asiwe mjinga!
 
Mpe pole sana mdau, Solution alioichukua ni yakumpoteza yeye mwenyewe japo ni kitu kigumu sana kukichukulia kutokana na matazamio yaliokuwepo. 'Expectation gap' so yawezekana yeye hakuwa chaguo la moyo wake, na hakuweza kumwambia maana huwezi kata tawi ulilokalia. Hii mambo ni changamoto kuwa maana inahusisha mioyo, ambayo ina HILA nyingi sana.''Moyo wa mtu u hila nyingi sana. Ni MUNGU awezaye kuuchunguza na kuujua moyo''
 
Yeye ndio aliyejiaminisha kuwa huyo bi dada ndio atakua mkewe...ila sidhani kama Mungu alipanga hivyo.
Asubiri wakati ukifika mke atapatikana piga ua garagaza...
 
Frankness,
Unamkumbuka Yakobo wa kwenye Biblia? Alifanya kazi miaka SABA..seven damn years...ili aweze kumuoa kipenzi cha moyo wake binti Raheli. Matokeo yake akaozwa Leah.
Akaambiwa ukimtaka Raheli, shurti ufanye tena kazi miaka saba.

Mungu ana mpango mwema sana na wewe...anasema hawezi kukupa jaribu lililozidi imani yako. Ulimpenda, ukamsomesha, akaamua kuolewa na mtu mwingine.
Mungu anakuambia, upo tayari kuwa mvumilivu tena kwa miaka mingine saba ili nikupe Raheli wako uliyempenda? Yule alikuwa Leah ndugu yangu.

Au niilete karibu zaidi, Samsoni..alimpenda binti mfilisti Delilah...alimpenda sana na aliamini huyo ndiye Mungu aliyemchagulia. Wafilisti walimpa mtihani mgumu wa mahari ya binti huyo ila Samsoni alifanikiwa kuileta. Asali ya mzogani mwa simba.
Yaliyomtokea nadhani unayafahamu..
Inawezekana kabisa Mungu alikuepushia hadithi ya Samsoni katika maisha yako (Ingawa najua hata sasa bado unaamini sivyo). Ila anasema, "I know the plans I have for you" anasema pia, "kila jambo limtokealo mwanadamu worketh for good to all those who believe in Him"
Je, unaamini?
Wengi wamevunjwa mioyo...wengi wamesubiri miaka mingi, wamegharamia, wamechunga mbuzi na kondo wa wajomba zao..lakini matokeo yake ni yale ya Samsoni.
U r not 50 yrs useme umri umekutupa. Naamini bado u kijana mdogo...mtu mmoja asikufanye uichukie dunia nzima...wait upon God's timing, it's always the best n perfect one!
All the best brother...
 
Last edited by a moderator:
Blah blah blah...karudie tena kozi ya utungaji riwaya pendwa.
 
Hapa leo ndio nimekujua vinzuri mkuu Mentor..
Hizo zako Hekima...Hatari sana.!!
 
well noted!
 
yote maisha, kwa nini uruhusu mtu mmoja aharibu maisha yako ya kimapenzi? Amekutenda sawa..... Songa mbele.......
 
Frankness,
Unamkumbuka
Yakobo wa kwenye Biblia? Alifanya kazi miaka SABA..seven damn
years...ili aweze kumuoa kipenzi cha moyo wake binti Raheli. Matokeo
yake akaozwa Leah.
Akaambiwa ukimtaka Raheli, shurti ufanye tena kazi miaka saba.

Mungu ana mpango mwema sana na wewe...anasema hawezi kukupa jaribu
lililozidi imani yako. Ulimpenda, ukamsomesha, akaamua kuolewa na mtu
mwingine.
Mungu anakuambia, upo tayari kuwa mvumilivu tena kwa miaka mingine saba
ili nikupe Raheli wako uliyempenda? Yule alikuwa Leah ndugu yangu.

Au niilete karibu zaidi, Samsoni..alimpenda binti mfilisti
Delilah...alimpenda sana na aliamini huyo ndiye Mungu aliyemchagulia.
Wafilisti walimpa mtihani mgumu wa mahari ya binti huyo ila Samsoni
alifanikiwa kuileta. Asali ya mzogani mwa simba.
Yaliyomtokea nadhani unayafahamu..
Inawezekana kabisa Mungu alikuepushia hadithi ya Samsoni katika maisha
yako (Ingawa najua hata sasa bado unaamini sivyo). Ila anasema, "I know
the plans I have for you" anasema pia, "kila jambo limtokealo mwanadamu
worketh for good to all those who believe in Him"
Je, unaamini?
Wengi wamevunjwa mioyo...wengi wamesubiri miaka mingi, wamegharamia,
wamechunga mbuzi na kondo wa wajomba zao..lakini matokeo yake ni yale ya
Samsoni.
U r not 50 yrs useme umri umekutupa. Naamini bado u kijana mdogo...mtu
mmoja asikufanye uichukie dunia nzima...wait upon God's timing, it's
always the best n perfect one!
All the best brother...

i salute u mentor
 
Last edited by a moderator:
Frankness,
Unamkumbuka Yakobo wa kwenye Biblia? Alifanya kazi miaka SABA..seven damn years...ili aweze kumuoa kipenzi cha moyo wake binti Raheli. Matokeo yake akaozwa Leah.
Akaambiwa ukimtaka Raheli, shurti ufanye tena kazi miaka saba.

Mungu ana mpango mwema sana na wewe...anasema hawezi kukupa jaribu lililozidi imani yako. Ulimpenda, ukamsomesha, akaamua kuolewa na mtu mwingine.
Mungu anakuambia, upo tayari kuwa mvumilivu tena kwa miaka mingine saba ili nikupe Raheli wako uliyempenda? Yule alikuwa Leah ndugu yangu.

Au niilete karibu zaidi, Samsoni..alimpenda binti mfilisti Delilah...alimpenda sana na aliamini huyo ndiye Mungu aliyemchagulia. Wafilisti walimpa mtihani mgumu wa mahari ya binti huyo ila Samsoni alifanikiwa kuileta. Asali ya mzogani mwa simba.
Yaliyomtokea nadhani unayafahamu..
Inawezekana kabisa Mungu alikuepushia hadithi ya Samsoni katika maisha yako (Ingawa najua hata sasa bado unaamini sivyo). Ila anasema, "I know the plans I have for you" anasema pia, "kila jambo limtokealo mwanadamu worketh for good to all those who believe in Him"
Je, unaamini?
Wengi wamevunjwa mioyo...wengi wamesubiri miaka mingi, wamegharamia, wamechunga mbuzi na kondo wa wajomba zao..lakini matokeo yake ni yale ya Samsoni.
U r not 50 yrs useme umri umekutupa. Naamini bado u kijana mdogo...mtu mmoja asikufanye uichukie dunia nzima...wait upon God's timing, it's always the best n perfect one!
All the best brother...
well that is it
 
"kumsomesha mtoto wa kike ni sawa na kumwagilia bustani ya jirani"

-kweli Mwl Mlayi alikua sahihi(huyu alikua mwalimu wangu wa civics,)aliyatamka maneno haya nikiwa form4 mpaka kesho nayakumbuka vizuri tu.
 
He is better tha he thinks... tell him to stop that **** and enjoy life.... something nice is around the corner...
 
"kumsomesha mtoto wa kike ni sawa na kumwagilia bustani ya jirani"

-kweli Mwl Mlayi alikua sahihi(huyu alikua mwalimu wangu wa civics,)aliyatamka maneno haya nikiwa form4 mpaka kesho nayakumbuka vizuri tu.

Jamani sio wote...kuna wengine waaminifu hadi mwisho japo ni wachache...tatizo kubwa la wasichana wanafuata pesa kuliko mapenzi..inawezekana huyo jamaa aliyeoa mambo yake ni supa zaidi ya huyo aliyesomesha..

lkn hana haja ya kujiumiza yeye asubiri tu, aoe..huyo dada atamkumbuka soon..
 
Back
Top Bottom