SenBoy
Member
- Sep 7, 2011
- 38
- 40
Salaam wana JF, leo ndio siku ya kwanza kabisa kujiunga nanyi katika Forrum hii. Nimefanya hivyo kutokana na kuvutiwa na uhodari wenu katika kuchangia mada mbalimbali hasa za kisiasa. Natumaini tutashirikiana pamoja katika kuelimishana na kuhabarishana matukio mbalimbali yanayohusu nchi yetu Tz pamoja na Ulimwenguni kwa ujumla. Ahsanteni.