NDIMARA TEGAMBWAGE"Maandamano-intellijinsia=Utulivu'

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Mara hii tuanze na hesabu.M-i=U.

Maana yake ni maandamano kutoa intelijensia ni sawa na utulivu.Ukijibu namna hii umepata. Ukijibu tofauti, umekosea. Usiende kubukua vitabu vingi. Nenda kwa yaliyotendeka; uliyoyaona na kuyashuhudia. Wala si zamani. Usidai kuwa umesahau. Ni wiki iliyopita na wiki hii.Wiki iliyopita,

Hayo ni maneno ya mzee Ndimara.

Source: Mwanahalisi Jumatano, Machi, 2-8,2011
 
Kwanini imewekwa jukwaa la inteligensia? haya si maoni ya mtu? kuna utafiti umefanywa mpaka ikawekwa hapa? kwanin mod wanaapprove maoni ambayo hayana udadisi wa kweli?
 
That is Bravo! Said Mwema you are not such much safe after your term!!!! Inteligensia yako lazima iangaziwe kama ni ya kuua watu au la!!! Mbona kote ambako inteligensia yako haijatolewa kumekuwa na amani ambapo ni pamoja na Arusha siku ya kuaga miili ya watu waliouwa na Jeshi lako possibly kutokana ma amri yako?
 
Kwanini imewekwa jukwaa la inteligensia? haya si maoni ya mtu? kuna utafiti umefanywa mpaka ikawekwa hapa? kwanin mod wanaapprove maoni ambayo hayana udadisi wa kweli?

Unataka uchunguzi gani wakati ni ukweli kabisa, kama si askari kuwapiga watu na kuwakamata wengine kusingekuwa mtu aliye kufa arusha.

Kwani hata siku ya kuwazika waliopigwa risasi na polisi Arusha, Polisi walidi kungekuwa na vurugu lakini haikuwepo hata kido na wala hakukuwa na mtu aliyekwaruzwa wewe ni shahidi.

Kwa hiyo hii ni kweli kabisa.

Ingawaje nilitegemea kabisa wewe kuipinga hii hoja kwani hutaki kufikiria kabisa ama kwa sababu una uwezo mdogo, au umehongwa, au una maslahi binafsi na CCM au yote kwa pamoja ndiyo maana kila kukicha unabishana na kila mtu humu JF.

Au we ni Kibonde nini?

Pole sana

PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwanini imewekwa jukwaa la inteligensia? haya si maoni ya mtu? kuna utafiti umefanywa mpaka ikawekwa hapa? kwanin mod wanaapprove maoni ambayo hayana udadisi wa kweli?

Nimekupa Thanks kwa kumkubali mpiganaji kuwa Avanta yako, utabadilika muda si mrefu na kuwa mtanzania halisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom