Ndicho cheo cha Nape?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,944
703
Wadau,
Angalieni hii picha na kusoma kwa makini hayo maneno yaliyoko kwenye jiwe hilo. Sina hakika ndiyo cheo kipya cha bwana Nape baada ya uchaguzi ndani ya SISIEMU?

B.+Nape+akizindua+shina+la+wajasiriamali+watengeneza+fenicha%252C+Katoro%252C+Geita.jpg

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la wajasiriamali watengeneza fenicha katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, jana. Nape aliwapa pia ,msaada wa sh. milioni moja kwa ajili ya wajasiriamali hao kukuza shughuli zao
 
Itikadi kali inayozungumziwa hapa inaonekana wazi kabisa maana kuna kanzu ya kijani inafuatilia kila hatua inayofanyika hapo,ile mbegu iliyopandwa na viongozi inaonekana wzi kabisa na hakuna wa kusahihisha makosa haya zaidi ya kuacha mambo kama haya yaendelee.
 
Tuwache tupumuwe
 
angeweka na kibaragashea cha kijani kuwa full uniform ya mabwepande
 
Wadau,
Angalieni hii picha na kusoma kwa makini hayo maneno yaliyoko kwenye jiwe hilo. Sina hakika ndiyo cheo kipya cha bwana Nape baada ya uchaguzi ndani ya SISIEMU?

B.+Nape+akizindua+shina+la+wajasiriamali+watengeneza+fenicha%252C+Katoro%252C+Geita.jpg

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la wajasiriamali watengeneza fenicha katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, jana. Nape aliwapa pia ,msaada wa sh. milioni moja kwa ajili ya wajasiriamali hao kukuza shughuli zao

Nape si ampe hiyo kapelo yako huyo mwenye kibarahashia ili huyo bwana atimie uCCM!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom