Ndg zangu wahaya mpeni tuzo saida karoli

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewapandisha saana kwenye ulimwengu wa sasa kiutamaduni, mila na desturi
hakika amewaongezea heshima kubwa kitaifa na hata kimataifa

USHAURI WANGU : Wahaya woote popote mlipo dunian kwa umoja wenu au tafuteni kutengeneza umoja hata wa muda tu maalumu kumpa tuzo na yeye ajisikie kwamba ni MHAYA NA YUPO KATIKATI YA NDUGU ZAKE WAHAYA
 
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewandhisha saana kwenye ulimwengu wa sasa kiutamaduni, mila na desturi

Una advocate ukabila? Stop that nonsense
 
Aliyekwambia katerero ni wilaya ninani na kama hujui maana rasmi ya jina hilo so ukae kimya
Polepole kijana, kuna vitu vingine sio vya kuchukulia serious kiivyo. Haya sasa hebu nipe maana yake, sababu ningekaa kimya huenda nisingejua maana yake.
 
Tumekwisha mpa TUZO ya MAMA WA KARNE....

Kila kijana mwenye UWEZO wa kumnunulia BIA BALIMI , Huyo Mama hana HIANA.
 
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewandhisha saana kwenye ulimwengu wa sasa kiutamaduni, mila na desturi
hakika amewaongezea heshima kubwa kitaifa na hata kimataifa

USHAURI WANGU : Wahaya woote popote mlipo dunian kwa umoja wenu au tafuteni kutengeneza umoja hata wa muda tu maalumu kumpa tuzo na yeye ajisikie kwamba ni MHAYA NA YUPO KATIKATI YA NDUGU ZAKE WAHAYA

Hilo neno nililoweka alama nyekundu limepoteza maana ya andiko lako lote. ni vigumu kuelewa ulikuwa unamaanisha nini
 
Back
Top Bottom