Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watani zangu WAHAYA moja ya jambo mnalolipuuza huyu mwana mama msanii maarufu SAIDA KAROLI kwa namna moja au nyingine amewapandisha saana kwenye ulimwengu wa sasa kiutamaduni, mila na desturi
hakika amewaongezea heshima kubwa kitaifa na hata kimataifa
USHAURI WANGU : Wahaya woote popote mlipo dunian kwa umoja wenu au tafuteni kutengeneza umoja hata wa muda tu maalumu kumpa tuzo na yeye ajisikie kwamba ni MHAYA NA YUPO KATIKATI YA NDUGU ZAKE WAHAYA