Ndg wanne wenyeji wa Naberera mkoani Manyara wapoteza maisha kisa na mkasa!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wenyeji wanne Mkoani Manyara wilaya ya simanjiro wamepoteza maisha juzi ktk juhudi ya kufunga pampu ya maji ktk shimo walilolichimba ili kujinusuru na ukame unaoikabili maeneo hayo. Ktk hao marehemu wawili ni mtu na mdogo wake na chanzo inaeleza wamekosa hewa wakati wakiwa humo shimoni. SOURCE: M/kiti wa kitongoji husika.
 
Hv kule Simanjiro ndiyo sisiem wanaibiaga kwny uchaguzi kura zao? Kwnn sasa wenyeji wafe kwa ajili ya maji? Ama pale hawanaga MB? Mi nasema poleni wafiwa na marehemu wote Rest In Peace lakini chama tawala wawe makini sana na wanainchi wake. Inasikitisha sana!
 
Mbunge wao ni wa chama cha magamba. Anasubiri tu kuomba miongozo bungeni ili waupinzani wapewe adhabu. Wananchi wanatafuta maji kwa gharama ya maisha yao halafu mbunge anajigamba kwamba yeye ndiye aliyeleta maendeleo wakati wananchi wake manakufa wala hana habari! Bado tunasafari ndefu sana jamani!
Roho za marehemu wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amen.
 
miaka 50 ya uhuru, tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele bila maji hadi watu wanakufa wakihangaikia maji
 
Back
Top Bottom