Ndg.Mangula ,kaza buti hii ni penati ya mwisho kwa CCM ya Ushindi !

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani ya CCM na Serikali kwa ujumla....wanajaribu kukuchokoza ili wajue kama ni kweli ama unatishia tu? Jibu umewapa lakini hawajatosheka,waambie wasubiri kufa kwa Vyama Vyao hata kama watahamia huko,watanzania wanaimani kubwa na Uongozi Mpya !

CHADEMA inawanasheria mfu ambao hawajui hata kuandaa mashitaka au kupeleka ushahidi PCCB ili waone serikali inawajibika vipi katika mapambano ya ufisadi...Wamesahau"No research No right to Speak".

Kutaja watu bila facts si kosa la Serikali kutowachukulia hatua,kwanza ndiyo mnavuruga upelelezi wa kubaini ukweli wa mambo.

Lakini kwa vile ni mapandikizi ya kuivuruga serikali isifanye kazi zake,basi wananchi wamelitambua hilo na waamemua kwa dhati kukibadilisha chama cha KITAIFA(CCM) kifanye mapinduzi ya kweli.
Bravo JK,Mangula,Kinana,Shein na Sekretaliati nzima !
 
umefufuka,mbona unatoa mapovu tu, hakuna CDM ndani ya CCM, ila kuna CCM ndani ya Chadema, umerogwa wewe
 
WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani ya CCM na Serikali kwa ujumla....wanajaribu kukuchokoza ili wajue kama ni kweli ama unatishia tu? Jibu umewapa lakini hawajatosheka,waambie wasubiri kufa kwa Vyama Vyao hata kama watahamia huko,watanzania wanaimani kubwa na Uongozi Mpya !

CHADEMA inawanasheria mfu ambao hawajui hata kuandaa mashitaka au kupeleka ushahidi PCCB ili waone serikali inawajibika vipi katika mapambano ya ufisadi...Wamesahau"No research No right to Speak".

Kutaja watu bila facts si kosa la Serikali kutowachukulia hatua,kwanza ndiyo mnavuruga upelelezi wa kubaini ukweli wa mambo.

Lakini kwa vile ni mapandikizi ya kuivuruga serikali isifanye kazi zake,basi wananchi wamelitambua hilo na waamemua kwa dhati kukibadilisha chama cha KITAIFA(CCM) kifanye mapinduzi ya kweli.
Bravo JK,Mangula,Kinana,Shein na Sekretaliati nzima !

HIVI NCHI HII KUNA WATU SAMPULI HII??

UNALETA MAUDHI SANA,,WEWE HUU UHARIBIFU UNAOFANYWA HUUONI AU NI JEURI TUH??

DAH YANI UNGEKUA KARIBU NINGEKUPA :boxing: ZA KUTOSHA SANA,,,

YANI DAH..!!:frusty:
 
Pole sana mkuu maana huu ni uchovu wa fikra,fikra zilizochoka zimeishia kujenga hoja dhaifu!Sasa kama wewe ndiye mtetezi wa mangula na mzee mangula amekuamini kuwa wewe ndiye mtu sahihi kumtetea na kutetea chama chako mbona kufa kwa chama kupo jirani zaidi kuliko uhai wa chama mnaoupigania?!
 
WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani ya CCM na Serikali kwa ujumla....wanajaribu kukuchokoza ili wajue kama ni kweli ama unatishia tu? Jibu umewapa lakini hawajatosheka,waambie wasubiri kufa kwa Vyama Vyao hata kama watahamia huko,watanzania wanaimani kubwa na Uongozi Mpya !

CHADEMA inawanasheria mfu ambao hawajui hata kuandaa mashitaka au kupeleka ushahidi PCCB ili waone serikali inawajibika vipi katika mapambano ya ufisadi...Wamesahau"No research No right to Speak".

Kutaja watu bila facts si kosa la Serikali kutowachukulia hatua,kwanza ndiyo mnavuruga upelelezi wa kubaini ukweli wa mambo.

Lakini kwa vile ni mapandikizi ya kuivuruga serikali isifanye kazi zake,basi wananchi wamelitambua hilo na waamemua kwa dhati kukibadilisha chama cha KITAIFA(CCM) kifanye mapinduzi ya kweli.
Bravo JK,Mangula,Kinana,Shein na Sekretaliati nzima !

Latest: ile rada imegoma kufanya kazi, na dalali bado anadunda ndani ya chama! Kaza buti!
 
Back
Top Bottom