Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,415
- 21,098
Hello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Una homoni chache za testosterone.