Ndesamburo: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro auza gari ya Wagonjwa

Standalone

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
676
576
Jana Ulifanyika Mkutano mkubwa Wilayani HAI, Mkutano Ulihudhuriwa na Umati mkubwa wa Watu.
Wageni walioalikwa pamoja na wengine alialikwa mbunge wa Moshi Mjini Mh Philemon Ndesamburo ambaye ni Maarufu kama Mzee Ndesa..

Wakati Mbunge Wa Moshi mjini anatoa Salamu zake alisema kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro anayeitwa Gama Alichukua Ambulance aliyokuwa ameitoa Kwa Hospital ya Mawenzi na sasa ameiuza.

Ikumbukwe pia Hiyo Ambulance aliitoa Mzee Ndesa Iwasaidie wagonjwa wa Mkoa wa Kilimanjaro

Leo sina Maneno Mengi Video hii hapa Chini.

 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani!!!!! Ama kweli tunakoelekezwa na hw mafisadi sasa tunasema IMETOSHA!!!!!
 
Back
Top Bottom