Ndesamburo Kuchafuliwa na Vyombo vya Habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndesamburo Kuchafuliwa na Vyombo vya Habari

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kamende, Oct 29, 2010.

 1. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua Ndesamburo kwa siku 2 zilizobakia.

  Kikosi hicho tayari kimeshatengeza na kupeleka makala na habari kwenda magazeti mawili ya kiraifa yanayomilikiwa na watuhumiwa wa ufisadi na moja la umma. Habari hizo zitatoka kesho kwenye magazeti husika.

  Kama kwamba haitoshi mkuu wa msafara huo anayeishi ambaye jina lake la ukoo linakwenda kama Shoo ataitisha Press Conference kesho ili aeleze kuwa wamegundua kuwa vijana wa CHADEMA watavaa sare za CCM na wataingia katika vituo vya kura kufanya fujo.Katika hotuba yake atasema kuwa vijana hao ambao watakuwa na sare za CCM si wa CCM bali ni wa CHADEMA ambao wameandaliwa rasmi kuvuruga uchaguzi.,

  hAPA NAONA MAMBO MAWILI

  1. Kwa kweli CCM wameamua kuharibu uchaguzi bila kujali outcome yake
  2. Kwa vyovyote kuna mpango majsusi wa kupeleka vijana wa UV-CCM vituoni ili waharibu uchaguzi

  CCM acheni hizo!!!!!!!!!!!
   
Loading...