NDESAMBURO:Bosi wa TUKURU na MWANASHERIA MKUU nao wawajibishwe

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote.
Amesema Madhambi Yaliyofanyika Ndiyo Yaliyochangia Kupanda Kwa Bei Ya Umeme Na Lazima Kitu Kifanyike, Na Kiongozi Yeyote Mwenye Madhambi Na Ana Kimrija Kwenye Dili Hilo Awajibike.
Ametaka Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Na Wahusika Kufilisiwa.
 
Ndesamburo,

Yaani alihitimisha ingekuwa China- sii kujiuzulu tu- ni pamoja na kupigwa risasi!

Hivi kweli sheria zetu za Mwingereza zinafaa kutatua matatizo kama haya?

Our present Laws so leanient- ndo maana ufisadi unaongezeka!

Angalia sheria za Singapore, Malaysia, na China ndo zimewafikisha hapo walipo leo!

Tungekuwa na sheria kali na kuzifuata- tungeshafika mbali kimaendeleo!
 
Siku za Mwizi ni Arobaini.Huu ni mwendelezo tu wa Masuala ya akina Balali.Nahisi fedha zote zilizochotwa kama zingepelekwa kunako husika Yale Maisha Bora kwa Mtanzania tungeyaona.
 
Back
Top Bottom