Ndesamburo atoa helcopta kupeleka wagonjwa loriondo kwa babu.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Kutokana na ubovu wa barabara ya kuelekea loriondo kwa babu, mbunge wa moshi mjini ndesamburo ametoa helcopta yake kupeleka wagonjwa mahututi kupata tiba kwa babu. Source: tbc-habari.
 
Maskini CCM si ndio wenye ajenda ya maisha bora kwa kila M'BONGO? thnx Ndesa...
 
Kutokana na ubovu wa barabara ya kuelekea loriondo kwa babu, mbunge wa moshi mjini ndesamburo ametoa helcopta yake kupeleka wagonjwa mahututi kupata tiba kwa babu. Source: tbc-habari.
Huyu mheshimiwa hajajua km serikali imepiga stop watu kwenda huko?watapigwa virungu km wata watoto wadogo.fosi
hu
 
mkanganyo mkubwa,ndesa, askofu, serikali; who is helping peoples!!!
 
Sasa kama MKwere hataki kukaa madarakani amri wanaintelejensia kurusha marungu kama hajaikimbia nchi akawafuta mabwana zake huko Ughaibuni
 
Back
Top Bottom