comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Salaam.Amani iwe kwenu.
Serikali ya Uingereza inajiandaa kufadhili mpango wa kutoa huduma za afya nchini kwa kutumia ndege zisizo na rubani aina ya Ziplines au "zip
drone"huduma hizo ni kusambaza damu na dawa mbalimbali katika maeneo mengi kwa muda mfupi, Aidha lengo la kufanya hivyo
linasemekana ni kupunguza umbali wa kuwafikia walengwa na kwa wakati muafaka, watalaamu wa Uingereza
wamepongeza hatua hiyo.
Aidha wameonya ndege hizo zina ukoma wa kutoa huduma kwa binaadamu, Aidha, huduma hizo pia zinalenga kutolewa
katika nchi nyingi za Afrika zikiwemo Rwanda, Tanzania halafu Botswana na nchi nyingine.
Chanzo: BBC