Updates:
Leo nimefurahi sana baada ya ushauri wangu kufanyiwa kazi sana.
Jamani website ya Air Tanzania imebadilishwa mwonekano japo bado inaonekana haijakamilika sawa lakini inavutia.
Hili limenitia moyo na nimefurahi. Kumbe tunaweza kuwa na vitu vizuri.
Kama hili mmelifanya kwa uharaka hivi naamini tutafanikisha lengo.
Uzi wenyewe ulikuwa huu hapo chini:
Kikienda kwa mganga hakirudi, ndivyo fedha zetu zilivyopepea kwa mabeberu.
Tulijaribu kushauri kwa namna tulivyoweza kuwa Mh. Rais sisi tunaona fedha zingepelekwa maeneo memgine lakini akaona sivyo.
Sababu ndege sio za mtu ni za nchi basi tusaidie kushauri ili hata kama kuna kifaida kidogo basi kitusaidie kujenga taifa.
Mimi nimeamua kujikita moja kwa moja kwenye upande wa TEHAMA ya ATCL.
1. Ningependekeza mabadiliko makubwa sana katika tovuti yao:-
i. Sio responsive, hapa namaanisha ukiifungua kwenye simu au tablet inakaa vibaya sana kiasi cha kumvuruga mtu anayefanya booking.
ii. Kuna option ya kubadili lugha kuwa kiswahili. Lakini cha kushangaza ni sehemu tu ndo lugha inabadilika kwingine bado ni kingereza.
iii. Graphics hazivutii yaani ukiingia huvutiwi kutazama vitu zaidi picha hazina mipangilio mizuri ya rangi.
iv. Zile logo za social network mmezitoa wapi ni kama mmechora zenu. Hebu zibadilisheni.
v. Huwezi kufanya booking ya ndege siku tatu kabla wakati inaonyesha kuwa gharama itakuwa ndogo lakini ku book huwezi.
2. Jinsi ya kujibu wateja kwenye social networks naomba hapa mjaribu kuwa kama ttcl maana wao kwenye huu upande tulilalamika na sasa wamerekebisha. Mnajibu majibu yasiotosheleza hivyo inapelekea swali hilo hilo kurudiwa mara kwa mara.
Mengine wataongezea, tafadhali huu ni uzi wa kujenga changia kujenga na sio kubomoa maana kama hasara tumekula sawa sasa tuipunguze hakuna namna.[/QUOTE]

Mengine wataongezea, tafadhali huu ni uzi wa kujenga changia kujenga na sio kubomoa maana kama hasara tumekula sawa sasa tuipunguze hakuna namna.