Unapoamua kusema uongo angalia kwanza hao unaowaambia huo uongo wanauelewa upi kuhusu huo uongo. Ona jinsi unavyoumbuka. Rubani ana post first experience yake ya long flight wewe unaingiza uongo wako wa kisiasa katika mambo ya kitaalam.Katika hali isiyo ya kawaida na ukimya wa hali ya juu, ndege zetu za kifahari kuwahi kutengenezwa kwa matumizi ya kubeba abiria, zimebadilishwa Matumizi na sasa zimeanza safari za kupakia mizigo China.
Hii inafanya kuwa ndege zetu za 787 Dreamliner kuwa ndege pekee za model hizo duniani kutumika kubeba mizigo baada ya zile kenya.View attachment 1987034View attachment 1987035
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app