Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

Mimi nichochofahamu ndege ikiingia kwenye airspace yenu huwa hakuna compromise ni kuiteka au kuilipua tu.Watanzania tusiwe wapole kama kondoo.Tusifunze kwa China mwaka 2001,kwa ndege ya Marekani au kwa Irani kwa ndege ya Uturuki mwkaka huu walichofanya. Teka au lipua.Hakuna mchezo kwa suala la mipaka na hilo huwa halihitahi amri ya Amiri Jeshi mkuu.Unataka kuniambia kuwa polisi kudhibiti jambazi husubiri amri ya IGP a wapi!

Polisi na JWTZ utendaji wao ni tofauti kwa asilimia 100 jeshi likifanya upuuzi unaoushabikia wewe nchi inaweza kuingia kwenye mgogoro wa kimataifa na siyo na Malawi tu bali dunia nzima mambo ya kimataifa huwezi kulinganishaa na Polisi kumuua au kumkamata jambazi.Kumbuka Polisi anashughulika na watu wa nchi yake na ndiyo maana hata wakiwafyatulia risasi na kuwauwa kama kule musoma walivyofanya kutandika risasi watu zaidi ya watano hakuna aliyehoji nje ya nchi. Kauwe idadi hiyo hiyo ya watu nje ya nchi usikilize muziki wake. Hebu kacheze hata mgambo tu utajifunza mambo mengi hutakuwa shabiki wa vitu usivyojua kama ulivyofanya hapa.
 
kwa kutumia jeshi lipi? Hili lenye vitambi na visukari achilia mbali mipressure walionayo

ukome kabisa kudharau jeshi letu mbwa wee jeuri ya kuingia hapa jf unaipata kwa sababu tpdf wapo wakiachia hata kwa nusa saa tu hata hizi post zako za kipumbavu utaziposti ukiwa juu ya mti au uvunguni jeshi linaheshimika kimataifa leo wewe unaliponda huna akili hata kidogo umenilazimisha kutumia matusi lakini ndiyo stahili yako mjinga wewe usiyekuwa na uzalendo.
 
Wakuu naomba msiwe na jazba, source ya hii info is not reliable, trustworthy and dependable! Good night to all.
 
Ardhi yetu ipi??! Tupe evidence kwamba hiyo ni ardhi yetu.
Niko tayari kuitwa Mmalawi, nataka nifahamu ukweli.

Huna lolote, thread zote humu kuhusu hili suala hujalifuatilia? Data zimemwagwa na makila kitu, ni juu yako wewe kupembua kwa upeo wako! Acha ubishi wa vijiweni!
 
Huna lolote, thread zote humu kuhusu hili suala hujalifuatilia? Data zimemwagwa na makila kitu, ni juu yako wewe kupembua kwa upeo wako! Acha ubishi wa vijiweni!

Nimefuatilia threads zote zinazohusu swala hili sijaona hata mmoja-katika wale wanaodai mpaka uko katikati ya Ziwa-aliyetoa uthibitisho kwamba mpaka uko katikati zaidi ya kutegemea riparian status ya nchi yetu katika eneo hilo na ramani(nyaraka) zinazodaiwa kuchorwa na Waingereza.
Mimi ninataka evidence ya umiliki wa eneo hilo la Ziwa, ramani tu haitoshi maana hata nilizofundishiwa Jiografia darasa la nne nakumbuka zilionesha mpka uko katikati ya Ziwa!!
Na tukitumia hoja ya riparian status maana yake tunataka sehemu hiyo iwe yetu kwa sababu kwa sasa sehemu hiyo si yetu(nimeona watu wanafanya reference ya Ziwa Chad)!!!.
Badala ya kunijibu kwa ghadhabu naomba unipe evidence unazozijua wewe labda sikubahatika kuziona.
Natanguliza shukrani!
 
naamini wewe si mtanzania, na kama unajiita mtanzania ni wa kuomba passport.Umepata wapi ujasiri wa kusema hivyo.hata kama watendaji ni wabovu na siasa si ya demokrasia ya uwajibikaji na ni mafisadi; ardhi ya tanzania ni watanzania, ni lazima watanzania tutetee hata kama ni kipande cha ekari moja.Walikuwa wapi miaka yote hiyo kudai hicho kipande cha ardhi kama si ukorofi?tumekuwa marafiki tangia enzi za muluzi, mbigu wa mthalika, huyu mama ana asili kweli ya banda, miaka ya nyuma ndugu banda alikiona kichapo.Mi sitaki kuingia ndani ya dipolomatic intelligency, lakini, naamini, hawa kichapo ni chao.Nasihi watanzania ni lazima kutetea ardhi yetu mpka tonela mwisho wa damu yetu.

je unatetea ardhi anazonyang'anywa mwananchi na kupewa wasaudi, wakorea, waingereza, wamarekani kwa bei ya sh. 200 kwa hekta ili walime mazao ya kuwalisha wananchi wao?
 
ukome kabisa kudharau jeshi letu mbwa wee jeuri ya kuingia hapa jf unaipata kwa sababu tpdf wapo wakiachia hata kwa nusa saa tu hata hizi post zako za kipumbavu utaziposti ukiwa juu ya mti au uvunguni jeshi linaheshimika kimataifa leo wewe unaliponda huna akili hata kidogo umenilazimisha kutumia matusi lakini ndiyo stahili yako mjinga wewe usiyekuwa na uzalendo.
Mkuu acha Matusi!!!!!! Hapa jeshi Hakuna kwani liliwahi kushinda vita ipi? Uganda idd amini alikuwa hapendwi na wananchi wake ndio maana ikawa rahisi kuingia kwasababu walikuwa wanasaidia hii migambo yetu tujaribu Malawi tusipofutika kwenye ramani siku hizi jeshi sio wingi wa jeshi naona wewe ni mwanajeshi umezoea kupanda daladala bure na kupiga raia achialia mbali mishahara ya bure mnayochukua
 
waacheni wana-diplosia wetu wafanye kazi.
Tunao muda wa mazungumzo bado, pia tutakapo wapiga jumuiya ya kimataifa iwe upande wetu. tulizaneni kwanza hakuna papara many eyes are looking at us.
 
WAPO Radio haiwezi kuwa source ya tukio la kiusalama. Source inaweza kuwa Mkuu wa Mkoa, TCAA , Makao Makuu ya Jeshi au Wizara ya Mambo ya Nje.
Mheshimiwa bado upo kwenye karne ya ujima, karne hii hata wewe mwenyewe unaweza kuwa source of information zozote,

Kama unataka habari za kuchakachuriwa subiri serikali na vyombo vyake vya dola vikupe.
 
usijaribu kupotosha watu kwa mifano mfu,nakuhakishia alipoponea kichaa wa jiran yako,huwenda kichaa wako asiponee pale.nasema,inatoke,malawi hata kama akisaidiwa malawi tunampiga ndani ya dk 30 na yule mama yenu tunawalete jangwani akiwa kwenye drip,utaniambia,tena unanitia hasira wewe

Huyo mama kajiandaa ameshahamisha familia yake anasubili tz tujibu yeye alishatangaza vita
 
Kila nchi inayo wasaliti wake wala si ajabu ya kuwepo watu wenye mtazamo wako nchini.

huyu ametoka taifa la jirani hapo linalobebwa na kuturudisha nyuma na kiini macho kinachoitwa muungano aka Zanzibar
 
Sawa mkuu lakini mimi nimem quote mh. Msigwa halafu ARTS sikusoma so kujua hao wana philosphy ni shida kidogo labda kwa kupitia watu kama nyie na kina Msigwa.

eistein siyo philosopher kaka, unatia aibu tena. Eisten ni geo physicist aliyetupa relativity theory ni mambo mengine kwenye sayansi ya fizikia na unajimu
 
kaka una morale umenifanya niaaze mazoezi ya kichura chura,,,hivi wamalawi hawajui kule kusin tuna skill yakujitengenezea magobole wenyewe,,isingekuwa polis kuidumaza tungetengeneza vifaru na mizinga,,,,hawajui tuwataalam wa anga tunaruka na ungo,,isingekuwa,,kina kakobe gwjima na kina mzee upako tungekuwa na fighter za ajabu,,,,bado babu wa loliondo mwaisapila,,atashuka na kikombe watakoma,,,,je umejiandikisha hata jkt/////

Wewe iko vuja bavu yangu bana!
 
Mkuu acha Matusi!!!!!! Hapa jeshi Hakuna kwani liliwahi kushinda vita ipi? Uganda idd amini alikuwa hapendwi na wananchi wake ndio maana ikawa rahisi kuingia kwasababu walikuwa wanasaidia hii migambo yetu tujaribu Malawi tusipofutika kwenye ramani siku hizi jeshi sio wingi wa jeshi naona wewe ni mwanajeshi umezoea kupanda daladala bure na kupiga raia achialia mbali mishahara ya bure mnayochukua

vipi kuhusu Comoro,msumbiji,Angola,botwasa,lebanon n.k na ni lipo 10 ktk Afrika
 
eistein siyo philosopher kaka, unatia aibu tena. Eisten ni geo physicist aliyetupa relativity theory ni mambo mengine kwenye sayansi ya fizikia na unajimu

Sasa mkuu kwani mimi nimemtaja kama Philosopher? Mimi nimesema siwajui maphilosopher so nina kosa gani hapo la kutia Aibu? BTW thanks kwa kutoa elimu nzuri.
 
Acha jazba na usiwe ujdgemental. Unajuaje kama mimi sijawahi kucheza mgambo au si mwanajeshi? Tatizo lako unadhani unachofikiri wewe ndo sahihi. Mtakuja kuuza nchi hivihivi kwa kuendekeza woga au wewe ni Mlawi nini unaogopa kichapo?
Polisi na JWTZ utendaji wao ni tofauti kwa asilimia 100 jeshi likifanya upuuzi unaoushabikia wewe nchi inaweza kuingia kwenye mgogoro wa kimataifa na siyo na Malawi tu bali dunia nzima mambo ya kimataifa huwezi kulinganishaa na Polisi kumuua au kumkamata jambazi.Kumbuka Polisi anashughulika na watu wa nchi yake na ndiyo maana hata wakiwafyatulia risasi na kuwauwa kama kule musoma walivyofanya kutandika risasi watu zaidi ya watano hakuna aliyehoji nje ya nchi. Kauwe idadi hiyo hiyo ya watu nje ya nchi usikilize muziki wake. Hebu kacheze hata mgambo tu utajifunza mambo mengi hutakuwa shabiki wa vitu usivyojua kama ulivyofanya hapa.
 
Acha jazba na usiwe ujdgemental. Unajuaje kama mimi sijawahi kucheza mgambo au si mwanajeshi? Tatizo lako unadhani unachofikiri wewe ndo sahihi. Mtakuja kuuza nchi hivihivi kwa kuendekeza woga au wewe ni Mlawi nini unaogopa kichapo?

Hujui vita inapiganwa vipi ngoja nikuache na ubishi wako maana hata jeshi linalokulinda bado unalidharau wakati Dunia nzima linafahamika kwa utendaji na nidhamu ya hali ya juu nenda sudani Naibu Kamanda wa majeshi ya umoja wa mataifa anatoka JWTZ lingenguwa jeshi chovu kama unavyofikiri wazungu wangempa uongozi mtanzania? Tumia akili usidharau majeshi yetu uwe na adabu
 
Back
Top Bottom