We jamaa nae ni kama unajua vitu vingi hadi unachanganyikiwa. Sisi kwetu tumeshakubaliana kwamba corona ni ugonjwa kama yalivo mengine, tumekubali kuishi nao. Ila kama kuna nchi itatutaka tuwapime raia wetu kama kigezo cha kuingia kwao ndo wizara inafanya na kuwapa certificate. Ni kama tunavochoma chanjo ya yellow fever, inaweza kuwa sio matakwa yetu lakini kwa kuwa nchi nyingi ukitaka kuzitembelea wanahitaji uthibitisha kama umechanjwa ndo maana serikali wanatuchoma na kutupa certificate. So unapoomba takwimu za wangapi wamepimwa corona wakati huulizi takwimu za wangapi wamechanjwa yellow fever ni kama ukichaa. Ishu ni kuwa tumetofautiana na wenzetu jinsi ya kulitazama janga kitu ambacho sio cha ajabu. Ukiforce tuweke hadharani takwimu za wangapi wamepimwa corona usiishie hapo, omba na takwimu za waliopima HIV, homa ya ini nk. Tumeamua kuichukulia sawa na mengine ila kwa watakaohitaji uthibitisho raia wetu tutawapima na kuwapa certificate sawa na tunavowapa za yellow fever, homa ya ini nkKama wanapima, weka hapa updates ya corona virus cases in Tanzania!!
Kwamba Wizara inatoa certificates ni kwa sababu wanalazimika kufanya hivyo since huwezi kuingia nchi ya watu wakati status yako haifahamiki!
Precision AirPartner wa KQ kwa Dar-NBO segment unamjua?
Black race daahJe, unapata Kila siku taarufa za ukimwi, home ya ini, malaria na kadhalika? Why only Corona?! Na hizo takwimu zikitolewa zitapunguza hiyo Corona?!
sasa Precision itabd ibebe non-Tanzanians ili kutua KenyaPrecision Air
Mkuu,Kenya wanachekesha, wao Corona imewachapa hasa alafu wanakuja na mbwembwe kuwa hizo nchi zimepambana na Corona vilivyo!
Mbona wao wameshindwa?
Waseme tu ndiyo masharti ya mkopo waliopata!
We jamaa tangu April ukionaga story za Corona unashupaza shingo sana. Ulikomaa na lockdown weeeee mpaka ukajiona mjinga. Shule zimefunguliwa tangu July mpaka leo shwari tu. Mmebaki mnaokoteza maneno tu. Last week watu wamejaa uwanja wa Mkapa kumuaga Ila hakuna cha mlipuko wa COVID19 wala nini., Mmejazana airport kumpokea Lissu na hakuna cha COVID19 wala nini. Bado unakomaa na Corona tu????, Huonagi aibu mkuu?.. Tanzania hakuna Corona, kama mnaipenda sana CORONA si muhamie huko KENYA??
Tayari tunashaanza kuwanyoosha!Ndiyo
Wewe uko TZ au unaandika ukiwa Kunyaland? Takwimu za Corona zinakusaidia nini? kwanini Corona na wala si Malaria inayotusumbua zaidi na inaua sana?? Acha kufuata tu kama upepo! Takwimu zipo lakini siyo lazima kutangazwa publically na nchi nyingi zimeshaacha kutangaza publically.Mkuu,
Naona wachekeshaji zaidi ni sisi tusiotoa takwimu, tuliamu kuziweka chini ya mvungu halafu tukajitangazia kwamba tuko corona free! Bila ya takwimu ni mjinga peke yake ndie atakaeamini huu upuuzi!
Wamesema kenya tu. Hawajasema watu. Since kwenda kenya si lazima ndege. Kuna mabasi.. hata miguu.kama Kenya haijataja Tz kuwa moja ya nchi zinazoruhusiwa raia wake kuingia kule hiyo inamaanisha lile katazo la Tz ni sio tu kwa KQ ila ndege zote za kenya na raia wake