Ndege za Malawi zafungasha virago Ziwa Nyasa

hekima ni muhimu katika kila jambo hasa ambapo kabla ujaongea unafikiri kwanza..wa malawi wanaweka watafiti wakuchimba mafuta viongozi wanakurupuka eti tuko tayari kwa vita baada ya kuwa tayari nao kuchimba mafuta...aibu wao wanaenda kisomi zaidi hawana kelele
 
Hili swala lazima litatuliwe ktk mahakama ya kimataifa! kwani swala likiendelea hivi both countries will lose significantly coz hata wakiacha kuchimba mafuta kwa sasa na ni hivyohivyo na TZ haiwezi kuchimba mafuta upande wowote ule mpaka apo suluhu ya kudumu itakapo patikana...USHAURI NI KUA HILI SWALA LIENDE JUU ZAIDI ILI NCHI ZOTE ZIWEZE FAIDIKA NA UTAJIRI ULIOPO KULIKO KUVIZIANA NA KUKOMOANA
 
arabs continue influencing africans in the wrong direction. Tanzania belongs to black africans, but why are arabs and indians controling tanzanian politics? This must stop now. Malawi isa peaceful neighbor leave them alone,
you never win a war. You can only bring more distruction. War is premitive. by the way why is tanzania not extracting oil in indian ocean? Shame!!!!

Ingekuwa vizuri kama jeshi letu lingeitungua moja ya ndege zilizokuwa zinaruka ktk anga letu zikifanya utafiti.
Nadhani ujumbe ungefika vizuri zaidi.
 
arabs continue influencing africans in the wrong direction. Tanzania belongs to black africans, but why are arabs and indians controling tanzanian politics? This must stop now. Malawi isa peaceful neighbor leave them alone,
you never win a war. You can only bring more distruction. War is premitive. by the way why is tanzania not extracting oil in indian ocean? Shame!!!!
..........wewe mnyasa, na huku upo tu, subiri kitachowakuta wewe nw mama yenu.......
 
Back
Top Bottom