Ndege za Klm na BRITISH AIR WAYS

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Wakuu wa nchi kwa wale waliokwisha panda hizi ndege za Klm na BA ,zina mapanga boi au hazina .naomba kujuzwa please.
 
Inategemea zinakwenda wapi. Mara nyingi zile zinatoa domestic services zina mapangaboi. Mbona mashirika makubwa ya ndege yana zenye mapangaboi. What's wrong kwa TZ kuwa nazo. Naona hizi ndege zimeibuia mijadala kila kukicha.
 
Jaman mods hebu badilishen system ya registration jamii forums, mana kuna maswali mengine mpaka mtu unashangaa
 
Sasa unataka kitu kinachotoka Heathrow mpaka Dar kwa masaa nane kiwe pangaboi ?

Halafu sijui kwanini BA walisitisha hii safari
 
Wakuu wa nchi kwa wale waliokwisha panda hizi ndege za Klm na BA ,zina mapanga boi au hazina .naomba kujuzwa please.
H553971Saab340KLMCityhopperPH-KSD2.jpg
 
WALIOANZISHA HII MADA YA MAPANGABOI baada ya ukweli kubaini9ka kuwa karibia mashirika yote yana hizi ndege tena zinafaa sana kwa safari fupi fupi WAMETOKOMEA KUSIKOJULIKANA na badala yake wamewaachia uwanja wafuasi MAAMUMA (nyumbu) ambao sasa wanauliza hata vitu visivyo na msingi.
 
Mashirika mengi makubwa yanatumia hizi ndege kwa regional flights......Watanzania ujuaji mwingi.
 
Back
Top Bottom