Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Kuna nini leo wadau, kumekuwa na ndege za kivita zinazopita katika anga la Dar kwanzia asubuhi ya leo na hivyo kuleta mushkeri na hali ya sintofahamu kwa wananchi, je kuna nini kimejiri leo?