Ndege za kampuni ya uwindaji _ ortelo zinaingiza watalii loliondo kinyume cha sheria

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Kuna tetesi nimezipata kuwa Ndege zinazomilikiwa na Kampuni ya Uwindaji katika pori tengefu la lolionde zimekuwa zikiingiza watalii katika eneo ilo kinyume cha taratibu kwani hakuna kituo cha uhamiaji wala kituo cha polisi katika eneo hilo.

Mweny datas naomba atuwekee.
 
Ninavyofahamu, ndege zote za hawa waheshimiwa siku zote fomalities za customs na immigration wanafanyia uwanja wa kimataifa kia,kwa ajili yakwenda kufanya shughuli za uwindaji loliondo na wakati huo huo hizo ndege huwa na vibali maalumu vinavyotolewa na Tcaa kwa ajili ya kuingia na kutoka Sio rahisi ndege kuruka moja kwa moja toka uarabuni hadi loliondo. hizo ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom