Elections 2010 Ndege za Jeshi kupita juu ya anga za DSM wiki hii ni kututisha?

Caren

JF-Expert Member
Feb 12, 2010
278
91
Jamani wandugu,
Toka juzi hapa ofisini kwangu ndege za kijeshi za Luteni Jenerali Shimbo zinapita angani kwa kasi. Je, zina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi? Je, zinataka kuthibitisha kuwa jeshi liko makini?

Nimeongea na watu wa TISS kujua kama kulikuwa na scheduled military exercises (ingawa JWTZ hutoa taarifa kwetu wanausalama) lakini nao pia wanasema hawajui.

I am looking for contacts in the Military Inteligence na nitawapa updates.
 
Poleni< ni bora kuwa mpole!
 
Common sense would dictate that wapinzan hawawezi uwawa kwa ndege. Wangetaka kututisha wamewaingiza JWTZ kwa armoured cars & tanks mitaan lik they did in Zambia after de threat of a coup.
 
Hawatuwezi tena, u reach a point where death is better than living, thats where we are now. Kaulizeni Mwanza na Arusha ka polisi na mabomu yao walifanikiwa, sembuse ndege. U kill one u create ten.
 
TUJIULIZE MAMBO YAFUATAYO WAKUU...

  1. WAKUU WOTE WA MAJESHI YOTE WAMETEULIWA NA KIKWETE.
  2. MAJAJI WOTE WAMETHIBITISHWA NA KIKWETE.
  3. WAKUU WA WILAYA
  4. WAKUU WA MIKOA
  5. VIONGOZI WA VYUO VIKUU ( V.C's KAMA MKANDALA NA KIKULA)
  6. USALAMA WA TAIFA
  7. ...........
HIVI UNAFIKIRI HAWA WAPO TAYARI KUONA CCM INAONDOKA MADARAKANI???
JAMANI CCM ITAENDELEA KUWEPO LABDA WANANCHI TUANZISHE TIFU LA UKWELI.
 
Vitisho tu! Wanajaribu kuwapa watu jambajamba lakini wanaotishika ni wao wenyewe wakiogopa umati usije toka barabarani kupinga matokeo.
 
Wanajiandaa kwa gwaride kabambe la kumwapisha rais hapo Jumamosi. Nasikia na midege ya kivita siku hiyo itapita mbele ya amiri mkuu na kutoa heshima zake.
 
wakuu tusiwe paranoid jamani... tutafika sehemu tuanze kujiogopa wenyewe
 
Amini usiamini zaidi ya 90% ya JWTZ, JKT, POLISI, MGAMBO, MAGEREZA na FFU wapo nyuma ya Nguvu ya Umma. Wapiganaji mliopo JF thibitisheni.
 
Jamani wandugu,
Toka juzi hapa ofisini kwangu ndege za kijeshi za Luteni Jenerali Shimbo zinapita angani kwa kasi. Je, zina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi? Je, zinataka kuthibitisha kuwa jeshi liko makini?

Nimeongea na watu wa TISS kujua kama kulikuwa na scheduled military exercises (ingawa JWTZ hutoa taarifa kwetu wanausalama) lakini nao pia wanasema hawajui.

I am looking for contacts in the Military Inteligence na nitawapa updates.

Nimeizimia avatar yako dada
 
Back
Top Bottom