Ndege za Abiria zakatisha anga la Libya baada ya kifo cha dikteta Gaddafi

Ndege miaka yote zimekuwa zikipita hapo anga ya Libya, na baadae zinaingia anga ya Sudan.

Nimekuwa nasafiri toka Afrika kwenda Ulaya kwa miaka 15 sasa safari zangu zote kwa ndege mbalimbali KLM, British Airline, Swiss Air na nyinginezo hazikuwa zinakatisha anga la Libya, ila kuzungukia huko Uyahudi kisha kuingia Ulaya. Baada ya kifo cha Sadam ndege za abiria zinavuka bahari ya kati kupitia Libya, na wengi wanaosafiri wameshuhudia hi.o.
 
Mkuu,
Uwanja unaitwa Gatwick (kama unaongelea ule uliopo jijini London), sio kama ulivyoandika hapo juu kwenye RED. Unless kama una refer uwanja mwingine

Jadili mada iliyoletwa, kuhusu uwanja nimeonyesha wazi uwanja ulioko London kubadili ndenge kwenda uwanja mwingine palepale London kwa kutumia bus la Speed Link, kisichoeleweka ni nini kama si kukwepa maudhui ya mada iliyoletwa? Hoja iliyoletwa ndege kuruka anga la Libya.
 
Mkuu nani kakuambia gaddaf ni dikteta? Hv ukipishana na nchi za magharibi tayari unakuwa dicteta?

Ooops na ni nani waliomshika na kumtesa na kumtundika risasi? nadhani sio nchi za Magharibi...

Angalia na ni nani wanaomshikilia Mwanae, sio nchi za Magharibi... Fikiria Soma Historia ya Afrika alipochukua Madaraka

Alimwaga Damu kwa Dhuluma na Uonevu, na baadaye alitawaka kwa Msumeno, Visu na Risasi kwa Mabomu na hayo ndio

Yaliyompata pia ... alitoa Damu kuchukua Madaraka na Damu ilimtoka kuachia Madaraka.
 
Nabii Issa alimwonya Peter alipoamua kupambana na waliokuwa wanamkamata alipomkata sikio mmojawapo. Namnukuru: "Mwenye kutumia upanga huangamia kwa upanga." Ndivyo hatima ya Peter ilivyokuwa. Alivyoishi Gaddafi ndivo alivyohitimisha maisha yake. Yaliyompata Saddam ndiyo yaliyomfikisha kwenye mauti.
 
Back
Top Bottom