Mungu atawaponya maiti aisee...
very sorry kama washakufa, RIP marehemu wote. Mungu awafariji familia zote:amen:
Mungu atawaponya maiti aisee...
Ujue basi nini?
Tusubiri updates zaidi,inawezekana ni matatizo ya hali ya hewa au imetekwa au sababu za kiufundi au vinginevyo. Tuombe uzima kwa hao watu 34
Wewe utakuwa ni mkristo bila shaka.
Nasikia inedondoka Namibia. No survivors
Tulio na mazoea ya safari za mara kwa mara za masafa ya mbali kwa ndege ni jambo pengine la kutufikirisha na pia kutuasa utayari kwani hatujui siku wala saa.
Airport nyingi za kimataifa isipokuwa Dar kuna nyumba ya swala kwa abiria kwa wanaopenda upande mmoja kwa wakristo kwenye altare na standi yenye biblia na upande mwingine kwa waislamu kumetandikwa misala. Nawaasa wenzangu mimi wenye kujenga mazoea ya kusariri mara kwa mara tuwe tunapitia vyomba hivyo kujenga mazoea ya kumtanguliza Mungu mbele ya safari yetu badala ya kumwachia rubani tu.
Wenye simu wanakatazwa kabisa kutumia ndani ya ndege ingawa ndege nyingi za masafa marefu huwa na network inayoonysha kwenye DVD sehemu ndege ilipo angani yaani nchi na miji iliyo karibu na airport gani iliyo karibu kuwapo na dharura ya kutua. Mbaya ukiwa bahari ya Pasific au Attlantic ocean kazi kweli maana ni mwendo wa masaa pengine zaidi ya 4 kufikia uwanja wa ndege kuwapo na dharura. Kama simu zingeruhusiwa huenda yatokeapo majanga kuna walio wepesi kuwasiliana na ndugu zao na hivyo kusaidia kujua sehemu yalikoanzia matatizo ya ndege ingawa waongoza ndege nao huwa wanajua, lakini kama matatizo ya mawasiliano yanapokuwa duni basi shida.
Kwenye ndege kuna mengi
sana,lakini kukitokea tatizo mkipona
mungu mkubwa...
na mkifa...........!
Tulio na mazoea ya safari za mara kwa mara za masafa ya mbali kwa ndege
ni jambo pengine la kutufikirisha na pia kutuasa utayari kwani hatujui
siku wala saa.
Airport nyingi za kimataifa isipokuwa Dar kuna nyumba ya swala kwa
abiria kwa wanaopenda upande mmoja kwa wakristo kwenye altare na standi
yenye biblia na upande mwingine kwa waislamu kumetandikwa misala.
Nawaasa wenzangu mimi wenye kujenga mazoea ya kusariri mara kwa mara
tuwe tunapitia vyomba hivyo kujenga mazoea ya kumtanguliza Mungu mbele
ya safari yetu badala ya kumwachia rubani tu.
Wenye simu wanakatazwa kabisa kutumia ndani ya ndege ingawa ndege nyingi
za masafa marefu huwa na network inayoonysha kwenye DVD sehemu ndege
ilipo angani yaani nchi na miji iliyo karibu na airport gani iliyo
karibu kuwapo na dharura ya kutua. Mbaya ukiwa bahari ya Pasific au
Attlantic ocean kazi kweli maana ni mwendo wa masaa pengine zaidi ya 4
kufikia uwanja wa ndege kuwapo na dharura. Kama simu zingeruhusiwa
huenda yatokeapo majanga kuna walio wepesi kuwasiliana na ndugu zao na
hivyo kusaidia kujua sehemu yalikoanzia matatizo ya ndege ingawa
waongoza ndege nao huwa wanajua, lakini kama matatizo ya mawasiliano
yanapokuwa duni basi shida.
Hii ni kali zaidi.The flight of plane, goes proportionally with gravity of the earth, in case imepotea, ina mana karuka juu zaid ya earth's gravity na gravitation forces toka sayari nyingne znakuwa kubwa kuliko dunia, plane inaondoka jumla. NI MTAZAMO
mkuu safari ni safari.. hata ya kwenda kwa miguu ni safari, hivyo ni vyema wakati wote kumwomba Mungu hata pasipokuwa na hizo nyumba za ibada, unaweza kusali kimoyo moyo popote.
Mkuu,The flight of plane, goes proportionally with gravity of the earth, in case imepotea, ina mana karuka juu zaid ya earth's gravity na gravitation forces toka sayari nyingne znakuwa kubwa kuliko dunia, plane inaondoka jumla. NI MTAZAMO