NDEGE YAPOTEA mazingira ya kutatanisha

Ujue basi nini?
Tusubiri updates zaidi,inawezekana ni matatizo ya hali ya hewa au imetekwa au sababu za kiufundi au vinginevyo. Tuombe uzima kwa hao watu 34

Nasikia inedondoka Namibia. No survivors
 
Nasikia inedondoka Namibia. No survivors

Tulio na mazoea ya safari za mara kwa mara za masafa ya mbali kwa ndege ni jambo pengine la kutufikirisha na pia kutuasa utayari kwani hatujui siku wala saa.

Airport nyingi za kimataifa isipokuwa Dar kuna nyumba ya swala kwa abiria kwa wanaopenda upande mmoja kwa wakristo kwenye altare na standi yenye biblia na upande mwingine kwa waislamu kumetandikwa misala. Nawaasa wenzangu mimi wenye kujenga mazoea ya kusariri mara kwa mara tuwe tunapitia vyomba hivyo kujenga mazoea ya kumtanguliza Mungu mbele ya safari yetu badala ya kumwachia rubani tu.

Wenye simu wanakatazwa kabisa kutumia ndani ya ndege ingawa ndege nyingi za masafa marefu huwa na network inayoonysha kwenye DVD sehemu ndege ilipo angani yaani nchi na miji iliyo karibu na airport gani iliyo karibu kuwapo na dharura ya kutua. Mbaya ukiwa bahari ya Pasific au Attlantic ocean kazi kweli maana ni mwendo wa masaa pengine zaidi ya 4 kufikia uwanja wa ndege kuwapo na dharura. Kama simu zingeruhusiwa huenda yatokeapo majanga kuna walio wepesi kuwasiliana na ndugu zao na hivyo kusaidia kujua sehemu yalikoanzia matatizo ya ndege ingawa waongoza ndege nao huwa wanajua, lakini kama matatizo ya mawasiliano yanapokuwa duni basi shida.
 
Hilo ndio tatizo la ndege,yani ikianguka mkipona mungu aliwapenda aswa hizi jet mh kupona ni ngumu sana..rest in peace wanaanga wenzangu na abiria..inahuma kweli unaondoka nyumbani unaenda kazini halafu aurudi.uwiii
 
Tulio na mazoea ya safari za mara kwa mara za masafa ya mbali kwa ndege ni jambo pengine la kutufikirisha na pia kutuasa utayari kwani hatujui siku wala saa.

Airport nyingi za kimataifa isipokuwa Dar kuna nyumba ya swala kwa abiria kwa wanaopenda upande mmoja kwa wakristo kwenye altare na standi yenye biblia na upande mwingine kwa waislamu kumetandikwa misala. Nawaasa wenzangu mimi wenye kujenga mazoea ya kusariri mara kwa mara tuwe tunapitia vyomba hivyo kujenga mazoea ya kumtanguliza Mungu mbele ya safari yetu badala ya kumwachia rubani tu.

Wenye simu wanakatazwa kabisa kutumia ndani ya ndege ingawa ndege nyingi za masafa marefu huwa na network inayoonysha kwenye DVD sehemu ndege ilipo angani yaani nchi na miji iliyo karibu na airport gani iliyo karibu kuwapo na dharura ya kutua. Mbaya ukiwa bahari ya Pasific au Attlantic ocean kazi kweli maana ni mwendo wa masaa pengine zaidi ya 4 kufikia uwanja wa ndege kuwapo na dharura. Kama simu zingeruhusiwa huenda yatokeapo majanga kuna walio wepesi kuwasiliana na ndugu zao na hivyo kusaidia kujua sehemu yalikoanzia matatizo ya ndege ingawa waongoza ndege nao huwa wanajua, lakini kama matatizo ya mawasiliano yanapokuwa duni basi shida.

Kwenye ndege kuna mengi sana..but kama kuna tatizo la kiufundi linatokea,kuna manual wanasoma kama tatizo ni kubwa au kuna option nyingine.kama hakuna ndio wanahamua kama warudi au watatua airport ya karibu..lakini asikwambie mtu na mungu atuepushie mbali.kile chombo kizuri lakini kukitokea tatizo mkipona mungu mkubwa maana ata hao marubani pia wanapanic hatari..
 
Tulio na mazoea ya safari za mara kwa mara za masafa ya mbali kwa ndege
ni jambo pengine la kutufikirisha na pia kutuasa utayari kwani hatujui
siku wala saa.

Airport nyingi za kimataifa isipokuwa Dar kuna nyumba ya swala kwa
abiria kwa wanaopenda upande mmoja kwa wakristo kwenye altare na standi
yenye biblia na upande mwingine kwa waislamu kumetandikwa misala.
Nawaasa wenzangu mimi wenye kujenga mazoea ya kusariri mara kwa mara
tuwe tunapitia vyomba hivyo kujenga mazoea ya kumtanguliza Mungu mbele
ya safari yetu badala ya kumwachia rubani tu.

Wenye simu wanakatazwa kabisa kutumia ndani ya ndege ingawa ndege nyingi
za masafa marefu huwa na network inayoonysha kwenye DVD sehemu ndege
ilipo angani yaani nchi na miji iliyo karibu na airport gani iliyo
karibu kuwapo na dharura ya kutua. Mbaya ukiwa bahari ya Pasific au
Attlantic ocean kazi kweli maana ni mwendo wa masaa pengine zaidi ya 4
kufikia uwanja wa ndege kuwapo na dharura. Kama simu zingeruhusiwa
huenda yatokeapo majanga kuna walio wepesi kuwasiliana na ndugu zao na
hivyo kusaidia kujua sehemu yalikoanzia matatizo ya ndege ingawa
waongoza ndege nao huwa wanajua, lakini kama matatizo ya mawasiliano
yanapokuwa duni basi shida.

mkuu safari ni safari.. hata ya kwenda kwa miguu ni safari, hivyo ni vyema wakati wote kumwomba Mungu hata pasipokuwa na hizo nyumba za ibada, unaweza kusali kimoyo moyo popote.
 
The flight of plane, goes proportionally with gravity of the earth, in case imepotea, ina mana karuka juu zaid ya earth's gravity na gravitation forces toka sayari nyingne znakuwa kubwa kuliko dunia, plane inaondoka jumla. NI MTAZAMO
 
Hii ni kali zaidi.
Nimebahatika kupitia kwenye elimu ya aviation lakini hii practically haipo!
 
mkuu safari ni safari.. hata ya kwenda kwa miguu ni safari, hivyo ni vyema wakati wote kumwomba Mungu hata pasipokuwa na hizo nyumba za ibada, unaweza kusali kimoyo moyo popote.

Mkuu hapo umenena mi kwa mwezi huwa napanda flight mara nne yaani kuna siku ndege iligoma kutua uwanjani kweli ndipo watu tulimjua mungu.nikiwa hewani huwa roho inakuwa juu mda wote.sina altenative nyingine ya usafiri kwa mahali napoenda but kiukweli huu usafiri ni hatari basi tu.
 
The flight of plane, goes proportionally with gravity of the earth, in case imepotea, ina mana karuka juu zaid ya earth's gravity na gravitation forces toka sayari nyingne znakuwa kubwa kuliko dunia, plane inaondoka jumla. NI MTAZAMO
Mkuu,
Ndani ya cockpit ya ndege kuna kifaa inaitwa altimeter ambacho kinapima altitude ya ndege.
Kila make ya ndege ina maximum height ya kupanda juu kutokana na ukubwa na efficiency, ambapo inapozidi hapo kuna warning system kadha zinazomshitua pilot kuwa yuko siko!
Kama kungekuwa na tatizo la gravitational force huko mahala zinapopita ndege, basi ndege ya kwanza kupotea ingekuwa Concord za Mfaransa ambazo zilikuwa zinapita juu sana kiasi cha kuweka rekodi ya kuwezesh abiria kuona sunset mbili ndani ya siku moja.
 
Kupotea kwa ndege ni tendo la kawaida kwenye usafiri wa ndege.
Sababu zinazoweza kupelekea ndege kupotea:

1.Kukatika kwa mawasiliano ya redio. Hapa tunaposema redio haimaanishi redio ya kuongea na control tower tu! Ndege ina radio za aina nyingi ambapo inatransmit mawimbi ya taarifa kadha ya kimawasiliano ambapo zinapokelewa na terrestrial stations aridhini, mojawapo ya taarifa hizi ni kuijuza ndege kuwa iko eneo gani.

2. Mchafuko wa hali ya hewa. Hapa ndege huweza kupita kwenye maeneo yenye ukungu mkali au radi za hatari zinazoitwa cumulonimbus ambazo zina umeme wenye voltage kubwa kiasi cha kuharibu mifumo yote ya ndege.

3.Kuharibika kwa kawaida kwa mifumo ya mechanical, hydraulic, pneumatic au electrical.

4.& kadhalika.
 
Back
Top Bottom