NDEGE YAPOTEA mazingira ya kutatanisha

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Ndege ya Msumbiji yapotea angani ikiwa na watu 34, ilikuwa ikitoka Maputo kwenda Luanda, Angola. Hadi sasa haijajulikana imepatwa na balaa gani.chanzo mwananchi asubuhi hii
 
BBC wanasema inawezekana ilipotea na kushuka kusini mwa NAMIBIA hvyo maafisa wanafuatilia
 
inakuwaga hivi hivi,imepotea imepotea,kumbe ndo kwa heri,tusubiri wailocate ilipo
 
BBC wanasema inawezekana ilipotea na kushuka kusini mwa NAMIBIA hvyo maafisa wanafuatilia

Una maana wamepanda ndege nyingine kuifuatilia hii iliyopotea, wao hawaioni hatari ya kupotea pia!!!
 
Back
Top Bottom